Mazingira FM

Recent posts

6 September 2023, 1:26 pm

Kesi yatajwa kuchelewesha wakazi wa Nyatwali kuhama

Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vincent Naano amesema mchakato wa kuwaamisha wakazi wa Nyatwali huwenda ukakamilika mwishoni mwa mwezi wa tisa. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vincent Naano amesema mchakato wa kuwaamisha wakazi…

6 September 2023, 1:07 pm

Mkurugenzi Bunda Mji aonya uchafuzi wa mazingira

Mkurugenzi Mkongo amesema wameazimia kutoa maelekezo kwa wafanyabiashara wote hasa wenye maduka kuwa na vitunza taka katika maeneo yao huku wamiliki wa baa na hoteli kuwa na vitunza taka vya aina tatu kwa ajili ya taka ngumu, zinazooza na chupa.…

6 September 2023, 12:37 pm

DC Naano aipa kongole halmashauri ya Bunda Mji usimamizi wa miradi

Mkuu wa wilaya ya Bunda Dkt Vincent Anney Naano ameipongeza halmashauri ya mji wa Bunda Kwa usimamizi mzuri wa miradi ya Maendeleo inayoletwa halmashauri ya nji wa Bunda Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Dkt Vincent Anney Naano…

31 August 2023, 11:13 am

Katibu tawala Bunda ateta na wakuu wa shule Bunda mji

Kiongozi bora halalamiki bali anatafuta ufumbuzi wa matatizo ya watu walio chini yake. kipimo cha uongozi ni jinsi gani kiongozi anaweza kuleta ushawishi kwa watu na kufikia maendeleo yaliyotarajiwa. Na Thomas Masalu Imeelezwa kuwa kipimo cha uongozi ni jinsi gani kiongozi anaweza kuleta ushawishi kwa watu na kufikia maendeleo yaliyotarajiwa. Kiongozi bora halalamiki bali…

29 August 2023, 10:41 am

Wananchi Butakale walia na huduma za maji, barabara

Wakazi wa mtaa wa Butakale kata ya Bunda Stoo halmashauri ya mji wa Bunda wamelalamikia changamoto ya ukosefu wa maji safi na salama pamoja na changamoto ya tembo katika maeneo yao. Na Adelinus Banenwa Wakazi wa mtaa wa Butakale kata…

26 August 2023, 9:24 pm

Bunda: ajinyonga aacha watoto na mke

Akutwa amejinyonga nyumbani kwa wazazi wake chanzo hakijajulikana aacha mke na watoto wawili Na Adelinus Banenwa Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Kija Hamis Machilu {29} mkazi wa Kitaramanka kata ya Sazira Bunda mjini amepoteza maisha kwa kujinyonga nyumbani kwa…

26 August 2023, 9:19 pm

Bunda: watoto 3 wanusurika kifo nyumba ikiteketa kwa moto

Watoto 3 wanusurika kifo nyumba ikiteketea kwa moto maeneo ya mtaa wa majengo kata ya kabarimu halmashauri ya mji wa Bunda mkoani mara huku chanzo kikitajwa ni mtoto kuchezea kiberiti. Na Adelinus Banenwa Watoto 3 wanusurika kifo nyumba ikiteketea kwa…

24 August 2023, 11:41 pm

Diwani awavalisha kijani mabalozi wote CCM Bunda Stoo

Kupitia hafla ya kukabidhi sare kwa mabalozi wote wa CCM kata ya Bunda Stoo, CCM Wilaya ya Bunda yamwagia sifa Diwani Flavian kwa kukijenga chama na kusimamia shughuli za maendeleo katika kata hiyo Na Edward Lucas Katibu wa Siasa na…