Joy FM
Joy FM
27 February 2026, 17:22
Katika dunia ya leo yenye ushindani mkubwa wa kiuchumi, vijana wanahitaji maarifa na ujuzi utakaowawezesha kujitegemea na kukabiliana na changamoto za maisha na mojawapo ya elimu muhimu wanayopaswa kupewa ni elimu ya biashara ili iweze kuwasaidia kuelewa misingi ya ujasiriamali,…
27 February 2026, 16:24
Ardhi ni rasilimali muhimu sana katika maisha ya mwanadamu na maendeleo ya taifa kwa ujumla, lakini migogoro ya ardhi imekuwa ikijitokeza mara kwa mara katika jamii kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mipaka ya mashamba, umiliki wa viwanja, urithi, na matumizi…
27 February 2026, 12:42
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari kutoka Kanda ya magharibi ili kuwajengea uelewa kuhusu majukumu ya BoT, udhibiti wa mikopo umiza, na umuhimu wa kutumia taasisi ndogo za kifedha zilizosajiliwa Na Josephine Kiravu Benki kuu…
24 February 2026, 16:30
Kwaresma ni wakati wa kuonyesha imani kwa vitendo kwa kuwasaidia wenye uhitaji kupitia matendo ya huruma na upendo. Na Hagai Ruyagila Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika, Mhashamu Emmanuel Bwatta, amewataka waumini wa dini ya Kikristo mkoani…
23 February 2026, 12:37
Watoto ni hazina ya taifa na msingi wa maendeleo ya baadaye ya jamii yoyote hivyo wanahitaji malezi bora, elimu, ulinzi na mazingira salama ili waweze kukua kimwili, kiakili na kimaadili licha ya kuwa bado kuna changamoto ya watoto kutumikishwa kwenye…
19 February 2026, 16:40
Shirika la Thamini Uhai limezindua mradi wa Mjamzito na Mtoto Salama wenye lengo la kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi katika mikoa mitatu ya Kigoma, Katavi na Geita Na Mwandishi wetu Serikali kwa kushirikiana na wadau wameendelea kupiga hatua muhimu kuelekea…
19 February 2026, 15:57
Amani na mshikamano ni nguzo ya maendeleo endelevu na kila mwananchi ana wajibu wa kulinda amani kwa matendo na maneno yake. Na Hagai Ruyagila Waumini wa dini ya Kikristo wilayani Kasulu, mkoani Kigoma, wametakiwa kuendelea kudumisha amani na mshikamano ili…
19 February 2026, 15:44
Serikali kupitia Wizara ya uchukuzi imesema haitosita kuchukua hatua za kisheria kwa wasimamizi wanaopewa dhamana ya kusimamia miradi ya maendeleo ambao wanashindwa kuendana na kasi ya serikali katika utekelezaji na ukamilishaji wa miradi kwa wakati Na Tryphone Odace Naibu Waziri…
17 February 2026, 10:51
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Kasulu Mjini (KUWASA) imesema inaendelea kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi ili kuhakikisha wanapata maji safi na salama kwa matumizi ya kila siku. Akizungumza kuhusu hali ya huduma hiyo, Kaimu…
17 February 2026, 10:42
Wabunge mkoani Kigoma wametaka miundombinu mibovu ya barabara kupatiwa ufumbuzi, ili kuondoa adha kwa wajawazito kupoteza maisha wakiwa njiani kufuata huduma maeneo mengine na wananchi kushidwa kusafiri Na Kadislaus Ezekiel Changamoto ya ukosefu wa daraja katika Mto Maragalasi Kijiji cha…
Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like
building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.
Missions
Visions
The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.
Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.