Mazingira FM

Recent posts

21 June 2021, 9:26 am

Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na Nyati

By Edward Lucas Kijana aitwaye Magesa Magori (21) mkazi wa Mtaa wa Tamau, Kata ya Nyatwali Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara anusurika kifo baada ya kuvamiwa na mnyama nyati wakati akiwa anachunga ng’ombe maeneo ya Tamau. Akisimulia tukio…

7 June 2021, 6:15 pm

Diwani Flaviani Nyamigeko tuziunge mkono timu za nyumbani

Diwani wa kata ya bunda stoo Flavian Chacha Nyamigeko amewataka wadau mbalimbali wilayani Bunda na viunga vyake kuziunga mkono timu za nyumbani ili ziweze kufanya vizuri kwenye mashindano ya kitaifa Hayo ameyasema leo alipotembelea kambi ya timu ya Bunda Queens…

5 June 2021, 3:06 pm

Bunda tayari kuupokea Mwenge wa uhuru

Mkuu wa mkoa wa Mara Mh Mhandisi Gabriel Luhumbi amekagua miradi ambapo Mwenge wa uhuru utapita kuizindua ndani ya Wilaya ya Bunda Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na kituo Cha Afya Cha Nyamuswa (IKIZU), mradi wa Maji wa kihumbu Hunyari, mradi…

5 June 2021, 8:53 am

DC Bupilipili;. Awatunuku vyeti wadau wa maendeleo Bunda

Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mh Mwl Lydia Bupilipili amewatunuku vyeti wadau wa maendeleo Wilaya ya Bunda katika kutambua mchango wao wa kuisaidia serikali kutekeleza miradi yake Hafla hiyo imefanyika June 4, 2021 Wilayani Bunda ambapo pamoja na Mambo mengine…

24 May 2021, 11:59 am

Dkt Tinuga; Serikali inatambua mchango mkubwa wa wauguzi

Maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani kwa mkoa wa Mara imefanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda ambapo mgeni Rasmi alikuwa mganga mkuu wa mkoa wa Mara DKT FROLIAN TINUGA  kwa niaba ya katibu tawala wa mkoa Katika kujibu risala…

18 May 2021, 6:03 pm

Wanyamapori waaribifu waendelea kuwatesa wananchi BUNDA

Wananchi wa migungani kata ya Bunda Stoo wilaya ya Bunda mkoani Mara wamelalamikia suala la wanyama pori waaribifu ikiwemo Tembo na Viboko kuwakatisha tamaa ya kujihusisha na kilimo Wakizungumza katika kikao cha diwani wa kata hiyo Flaviani chacha kilicholenga kusikiliza…

18 May 2021, 5:42 pm

Wananchi wa kata ya Hunyari Bunda kulipwa kifutajasho

Serikali kupitia wizara ya maliasili na utalii imetenga zaidi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya kulipa kifuta jasho kwa wananchi waliofanyiwa uharibifu wa wanyamapori katika mashamba na makazi wanayoishi katika vijiji vitatu Mariwanda,Hunyari na Kihumbu vilivyopo Bunda Mkoani Mara…

18 May 2021, 5:32 pm

Dkt Yunge; aitaka jamii izingatie lishe bora

Mganga mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Dkt Nuru Yunge ameitaka jamii kuzingatia lishe bora ili kupunguza matatizo ya magonjwa Hayo yamesemwa na  wakati akizungunza na watendaji wa kata 19 za Halmashauri ya Wilaya ya Bunda na kubainisha kuwa…

10 May 2021, 8:23 am

Bonanza kwenda kutalii Bunda maelfu ya watu wajitokeza

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA AKIHAMASISHA UTALII KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA WANYAMA PORI YA SERENGETI Hayo yamefanyika leo katika bonanza la michezo la Twende Kutalii Serengeti lililoandaliwa na TANAPA kwa kushirikiana na wadau wa utalii #Twendekutalii pamoja na #Mazingirafm katika viwanja…