Mazingira FM

Recent posts

28 November 2021, 8:00 am

Mtelela:-TAKUKURU ichunguzeni TARURA Bunda mjini

Katibu tawala Wilaya ya Bunda Salum Mtelela ameelekeza TAKUKURU Wilaya ya Bunda kuichunguza TARURA Bunda Mjini kutokana na malalamiko mbalimbali ya utekelezaji usiyofaa wa miradi ya miundombinu ya Barabara ndani ya Halmashauri ya Mji wa Bunda Maelekezo hayo ameyatoa kwenye…

28 November 2021, 7:50 am

Kisangwa yafanya maafali ya 31 Maji yawa kero chuoni hapo

Wanafunzi wapatao 126 level ya pili kutoka chuo Cha maendeleo ya Wananchi Kisangwa FDC wanategemea kumaliza masomo yao mapema mwezi huu Akizungumza katika maafari mkuu wa chuo Cha maendeleo ya Wananchi Kisangwa Edmund Nzowa amesema maafari hayo ni ya 31…

12 November 2021, 5:38 pm

Shule ya msingi Bigutu yakabiliwa na upungufu wa madarasa

Shule ya msingi ya Bigutu iliyopo kata ya Bunda stoo Halmashauri ya Mji wa Bunda inakabiliwa na chambamoto mbalimbali kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi wanaosomea shuleni hapo Akizungumza na Mazingira fm mwalimu mkuu wa shule hiyo Yohana Albert amesema…

12 November 2021, 5:20 pm

Mbegu za pamba sasa wakulima kukopeshwa

Siku moja tangu utaratibu wa kugawa mbegu kwa wakulima kwa njia ya mkopo kuanza kwenye AMCOS ya Kunzugu mkulima mwezeshaji na katibu wa chama hicho cha ushirika amesema mbegu zote zimeisha kwa yale makampuni yaliyoleta fomu za kujaza wakulima wanaokopa…

10 November 2021, 8:58 pm

Bunda; Wakulima wa pamba waomba kukopeshwa pembejeo

Baadhi ya Wakulima wa zao la pamba kata ya Kunzugu Halmashauri ya Mji wa Bunda wameiomba serikali isimamie zoezi la usambazaji wa mbegu ya pamba kwa kuwakopesha wakulima kama ilivyokuwa msimu uliopita tofauti na utaratibu wa msimu huu unaowataka walipie…

10 November 2021, 8:45 pm

Maafali ya 1 shule ya sekondari Anthony Mtaka

Takribani wanafunzi 243 Shule ya sekondari Anthony Mtaka iliyopo Wilayani Busega Mkoani Simiyu wanatalajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne  mwaka 2021 ambapo kati yao wavulana ni 104 Na wasichana ni 139 Kupitia risala ya wahitimu  kawe mgeni rasmi…

19 October 2021, 5:26 pm

Wananchi wa Tamau wapata kivuko kipya kilichogharimu 420000/Tsh

Uongozi wa serikali ya mtaa wa Tamau kata ya Nyatwali Halmashauri ya mji wa Bunda leo umekabidhi kivuko kipya kwa wananchi wa eneo la Tamau ujaluoni ili kurahisisha shughuli za uvukaji katika eneo hilo. Akikabidhi mtumbwi huo uliogharimu kiasi cha…

8 October 2021, 3:59 pm

Nassar:-Ruwasa simamieni suala bili za Maji ili mpanue mtandao wa maji

Jumuiya za watumiaji maji wilaya ya Bunda Mkoani Mara wametakiwa kusimamia ipasavyo miradi ya maji iliyo katika maeneo yao kwa kuhakikisha wanatumia vizuri pesa wanazo kusanya katika miradi hiyo.Agizo hilo limetolewa leo Oct.7. 2021 na mgeni rasmi ambaye ni mkuu…