Mazingira FM

Recent posts

5 October 2021, 3:01 pm

Apoteza maisha wakati akivuka mkondo wa maji wa ziwa Victoria

Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Dotto Mbogo au maarufu kama Mwanambogo mkazi wa Tamau kata ya Nyatwali Halmashauri ya mji wa Bunda amefariki dunia baada ya kuanguka na kufa maji katika mkondo wa mto Rubana na Ziwa Victoria. Mashuhuda…

3 October 2021, 11:07 am

Ahofiwa kupoteza Maisha wakati akivua samaki ziwa Victoria

Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Lugoye Ndimila (31) mkazi wa mtaa wa Kariakoo Kata ya Nyatwali Halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara anasadikiwa kufariki duniani akiwa katika shughuli za uvuvi kando ya Ziwa Victoria usiku wa kuamkia tarehe…

29 September 2021, 10:22 am

Auawa kwa kisu kisa 1000 ya kamali

Ni Jumanne Jackson miaka 21 mkazi wa mtaa wa kabusule Kata ya Nyamakokoto Halmashauri ya Mji wa Bunda amechomwa kisu nakupoteza Maisha katika ugomvi wa kamali Tukio hilo limetokea September 28, 2021 majira ya jioni ambapo kwa kujibu wa mashuhuda…

28 September 2021, 4:26 pm

Mbunge wa Bunda mjini Robert Mabotto Afanya Ziara kata ya Nyasura

mbunge wa Jimbo la Bunda mjini Mh Robert Chacha Mabotto ametoa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milion mbili kwenye gereza la Bunda lililoko kata ya Nyasura Halmashauri ya Mji wa Bunda katika Ziara hiyo mh Mabotto aliongozana na…

28 September 2021, 1:15 pm

Tamau: kamati yasiasa yakaa nakuamua

Akizungumza katika ufunguzi wa kikao hicho Mwenyekiti wa CCM tawi la Tamau, Matale Kikoi amesema ni kwa muda sasa kumekuwa hakuna mahusiano mazuri kati ya viongozi wa chama na serikali katika mtaa wa Tamau jambo linalokwamisha utekeleza wa shughuli za…

16 September 2021, 9:42 am

Aweso: aagiza matumizi bora ya maji ya mabonde ya mito

By Thomas Masalu Waziri wa maji mheshimiwa Jumaa Aweso ameagiza bodi za maji za mabonde nchini kuhakikisha wanaandaa mipango ya matumizi ya maji katika mabonde madogo ili kuhakikisha matumizi bora ya maji katika shughuli za kijamii na kiuchumi. Aweso ametoa…

10 September 2021, 10:12 am

Mh Mabotto: wananchi wa bunda mjini wamevumilia sana mradi wa maji

By Adelinus Banenwa Mbunge wa jimbo la Bunda Mjini Mh Robert Chacha Mabotto  amewataka wananchi wa jimbo hilo kuendelea kuwa wavumilivu kwenye suala la mradi wa maji kwa kuwa bado anazidi kulipigania Akizungumza na Radio Mazingira FM kwa njia ya…