Mazingira FM

Recent posts

8 April 2021, 12:49 pm

Dc Bunda awapongeza wananchi kwa ushirikiano kipindi cha maombolezo

Mheshimiwa mkuu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara Mwalimu Lydia Bupilipili amewashukuru Wananchi wa wilaya Bunda kwa kuonesha mshikamano na uzalendo wakati wa kipindi chote cha maombolezo ya msiba wa  aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe…

2 April 2021, 5:27 pm

Billioni 1 kujenga makao makuu ya halmashauri.

Halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imepokea kiasi cha pesa za KitanzaniaTsh. Billioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu ya halmashauri hiyo. Taarifa ya kupokea pesa hizo imetolewa katika kikao cha baraza la madiwani kwenye kikao cha…

2 April 2021, 4:52 pm

Dallo- watumishi acheni kutumia neno mchakato

Katibu wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Bunda mkoani Mara Ramamdhani Dallo amewataka watumishi wa umma na wakuu wa idara halmasauri ya wilaya ya Bunda kuacha mara moja kutumia neno mchakato na badala yake wajielekeze katika kutekeleza miradi ya…

31 March 2021, 5:30 pm

Kiapo cha Dkt Mpango chaja na mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

MAKAMU wa Rais mteule, Dkt Philip Mpango, ameapishwa leo Machi 31, katika ukumbi wa Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Akihutubia baada ya makamu wake kuapishwa, Rais Samia, ametangaza Baraza Lake Jipya la mawaziri ambalo amefanya mabadiliko kidogo, Katika baadhi ya wizara…

25 March 2021, 3:17 pm

Waandishi wa habari wa redio za kijamii kanda ya ziwa wajengewa uwezo na TADIO

Katika kuhakikisha redio za kijamii  zinasikika kupitia kwenye mtandao TADIO  imeanzisha program maalumu itakayozisaidia redio zote za kijamii zilizopo kwenye TADIO Mafunzo hayo ya siku mbili yamefanyika Jijini Mwanza ambapo mafunzo yanalenga kuwawezesha waandishi kutoka vituo vya redio za kijamii…