Recent posts
11 March 2025, 12:17
Vijana Iringa wajengewa uwezo wa kilimo na usindikaji
Na Joyce Buganda Vijana mkoani Iringa wametakiwa kutumia mbinu za kisasa za kilimo na usindikaji ikiwemo kutumia virutubisho Ili kiboresha wa mazao na bidhaa wanazozizalisha. Mafunzo hayo yametolewa kwa siku mbili mjini Iringa kwa kushirikiana na viongozi wa Serikali, Shirika…
7 March 2025, 18:36
DC Kheri aiagiza TAWA kudhibiti wanyamapori wanaovamia mazao ya wananchi
Na Godfrey Mengele Mkuu wa Wilaya ya Iringa Kheri James ameitaka Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania – TAWA pamoja na hifadhi ya wanyamapori Ruaha kuchukua hatua madhubuti ili kudhibiti wanyama wanaovamia na kuharibu mazao, mifugo na kusababisha madhara kwa binadamu…
6 March 2025, 12:47
Urusi kuwekeza katika kilimo mkoani Iringa
Na Adelphina Kutika Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Andrey Avetisyan, ameonesha dhamira ya kuleta uwekezaji wa viwanda nchini Tanzania, hasa katika sekta ya kilimo, ili kuongeza fursa za ajira na kuchochea maendeleo ya kiuchumi. Balozi Avetisyan amesema hayo akiwa…
5 March 2025, 10:15
Wanawake Iringa washauriwa kuacha mikopo ya kausha damu
Na Adelphina Kutika Wanawake Mkoani Iringa wametakiwa kuacha kukopa mikopo ya kausha damu na badala yake wakope mikopo inayotambulika na Serikali ikiwemo taasisi za fedha ili kupunguza vifo kwa vijana. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Vyombo…
4 March 2025, 10:50
CCM Iringa yakanusha matamshi ya Mhapa yaliyozua taharuki
Na Frank Leonard CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimekanusha taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa, Steven Mhapa inayodai majina ya madiwani na wabunge waliopo madarakani sasa yatakuwa miongoni mwa majina matatu yatakayorudishwa kwenye mchakato…
3 March 2025, 11:09
Watendaji wa Vijiji na Mitaa wapewa mafunzo na Tume ya haki za binadamu
Na Fredrick Siwale TUME ya haki za binadamu na Utawala bora Nchini imetoa mafunzo kwa Watendaji wa Vijiji na Mitaa, wa Halmashauri ya Mafinga Mji na Wilaya ya Mufindi kuhusu haki na Wajibu kwa Wananchi. Akizungumza wakati wa Mafunzo hayo,…
3 March 2025, 11:03
Diwani Nziku awahimiza wanawake Iringa kutunza Mazingira
Na Halfan Akida Wanawake wa Manispaa ya Iringa wamehamasishwa kuwa na utamaduni wa kutunza mazingira ikiwemo kupanda miti ya vivuli pamoja na matunda katika maeneo yao. Wito huo umetolewa na , Diwani wa Viti maalum Manispaa ya Iringa, Dora Nziku…
28 February 2025, 08:46
Wenezi CCM Wilaya ya Kilolo wapatiwa semina ya kutekeleza majukumu yao
Na Joyce Buganda Kuelekea uchaguzi mkuu mwezi oktoba mwaka huu makatibu, siasa, uenezi na mafunzo w CCM ngazi ya kata na matawi wilayani kilolo ukanda wa juu wamepewa semina elekezi ili kuwaandaa na kuwakumbusha kutekeleza majukumu yao Kulingana na katiba…
25 February 2025, 12:26
Wananchi Kilolo wapewa elimu ya matumizi bora ya ardhi kupunguza migororo
Na Adelphina Kutika Tume ya Taifa na Mpango wa Matumizi ya Ardhi imeanzisha mchakato wa kuandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi katika kijiji cha Iwungi, kilichopo katika kata ya Uhambingeto, Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa. Akizungumza na…
21 February 2025, 12:12
Mwalimu aliyepata ajali na kukatwa miguu aomba msaada wa kitimwendo cha umeme
Na Fredrick Siwale Mwalimu wa shule ya msingi Kinyanambo Silvester Joseph Lyuvale (57) aliyepata ajali na kukatwa miguu yote miwili ameiomba Serikali na Wadau wa maendeleo ili aweze kupata msaada wa Kitimwendo kinachotumia umeme. Akizungumza na Nuru FM Mwl.Silvester anayefundisha…