Recent posts
21 February 2025, 12:08
Mradi wa maji Ruaha Mbuyuni wa mil. 271 kutatua kero ya maji
Na Ayoub Sanga Serikali kupitia wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA imetoa zaidi ya shilingi Millioni 271 kwaajili ya uboreshaji wa mradi wa maji wa Ruaha Mbuyuni wilayani Kilolo,mradi ambao unaenda kuondoa adha ya upatikanaji wa maji…
19 February 2025, 12:24
Tume ya haki za binadamu yatoa elimu kwa wananchi
Na Adelphina Kutika Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora Nchini inatarajia kutoa elimu kuhusu misingi ya haki na Utawala bora kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Iringa kwa lengo la kuwawezesha Wananchi kutambua haki zao na…
19 February 2025, 10:43
Wananchi Lupembelwasenga walalamikia ukosefu wa maji
Na Victor Meena Wananchi wa Kitongoji cha Imalinyi kilichopo Kijiji cha Lupembelwasenga Kata ya Lyamgungwe Mkoani Iringa wanakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji jambo linalohatarisha usalama kwao. Wakizungumza na Nuru FM baadhi ya wananchi wa kijiji hicho…
18 February 2025, 20:54
Waombwa kuwasaidia wenye uhitaji Iringa
Na Joyce Buganda Wadau wa maendeleo mkoani Iringa wametakiwa kuwa na utaratibu wa kujitoa na kuwasaidia watu wenye uhitaji na kutowatenga. Hayo yamzungumzwa na msanii kutoka nyanda za juu kusini Ezra Francis maalufu kwa jina la Eze Nice ambae ndiye…
17 February 2025, 10:15
Ubovu wa daraja wahatarisha usalama wa wanafunzi Ihongole
Na Fredrick Siwale Wananchi wa Mtaa wa Ihongole uliopo kata ya Boma Halmashauri ya Mji Mafinga wameiomba serikali iwajengee daraja linalotumiwa na wanafunzi kuelekea shule ya JJ na Nyamalala ili kuwanusuru na hatari ya kusombwa na maji ya mvua. Wakizungumza…
9 February 2025, 15:57
Bi. Mwanilwa akabidhi mifuko 30 ya saruji na mawe ujenzi nyumba ya UWT
Na Mwandishi wetu Umoja wa Wanawake UWT Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga umeanza utekelezaji wa ujenzi wa nyumba ya Watumishi hasa Katibu umoja huo. Katika ujenzi huo ambao umeanza Rasmi, baada ya kupatikana Vifaa vya ujenzi kutoka kwa wadau mbalimbali…
9 February 2025, 13:27
Mwanilwa akabidhi bati 40 ujenzi wa nyumba ya watoto yatima Zizini
Na Mwandishi wetu Mjumbe wa Mkutano Mkuu UWT Taifa Wilaya ya Handeni Bi Mariam Mwanilwa amechangia Bati 40 kwa familia ya watoto Yatima 6 iliyopo Mtaa wa Zizini Kata ya Chanika Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga. Akizungumza wakati wa kukabidhi…
5 February 2025, 12:08
Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi yapaa ukusanyaji mapato
Na Fredrick Siwale Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kwa kipindi cha robo ya pili ya mwaka imeonyesha kupaa katika ukusanyaji wa mapato kutoka katika vyanzo vyake mbali mbali vya mapato na kukusanya milioni 170 kwa wiki. Awali akifunga Baraza hilo…
5 February 2025, 11:48
RC Serukamba aagiza kutendeka haki katika huduma za kimahakama
Na Joyce Buganda Wadau wa mahakama mkoani iringa wametakiwa kutenda haki wanapokuwa katika majukumu yao ikiwemo kujenga ukaribu kwa wananchi wakati wa wanapotoa huduma za kimahakama. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya kilele cha siku ya sheria yaliofanyika katika viwanja ya…
4 February 2025, 09:33
Bilioni 11.7 kutengeneza barabara za Mafinga Mji
Na Hafidh Ally Halmashauri ya Mji Mafinga Mkoani Iringa imeomba kupatiwa Bilioni 11.7 kwa ajili ya matengenezo ya barabara korofi katika jamii. Hayo yamezungumzwa na Meneja wa Wakala wa barabara vijijini (TARURA) Wilaya ya Mufindi Mhandisi Richard Sanga wakatia akitoa…