Nuru FM

Recent posts

26 November 2024, 13:00

Milion 150 zatumika kujenga ghala la dawa hospitali ya Frelimo Iringa

Na Adelphina Kutika Zaidi ya shilingi milioni 150 zimetumika kujenga Ghala la Dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Frelimo, iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa. Hayo Yamebainishwa na Mfamasia wa Hospitali hiyo, Sued Deogratius katika ziara ya mwendelezo wa…

25 November 2024, 10:01

DC Kheri apongeza usimamizi wa miradi ya elimu Iringa

Na Adelphina Kutika Mkuu wa Wilaya ya Iringa, amewapongeza wakuu wa shule kwa usimamizi mzuri wa miradi inayotekelezwa katika maeneo yao, akieleza kuwa wameonyesha uaminifu mkubwa katika kusimamia miradi hiyo. Haya yamejiri katika kikao cha uzinduzi wa jukwaa la mafanikio,…

21 November 2024, 11:44

CCM Mufindi yawanadi wagombea wake

Na Fredrick Siwale CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)  Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kimeanza kuwanadi wagombea nafasi uongozi wa Serikali za Mitaa kwa Wananchi kuelekea uchaguzi utakaofanyika Nov 27 mwaka huu. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni katika Mtaa wa Mjimwema…

20 November 2024, 19:00

Mila na desturi chanzo cha wanaume kushindwa kuripoti matukio ya ukatili

Wananchi Mkoani Iringa wamesema kuwa mila na desturi katika jamii imetajwa kuwa sababu inayopelekea wanaume wengi wanaofanyiwa ukatili wa kijinsia kushindwa kuripoti pindi wanafanyiwa vitendo hivyo. Wakizungumza katika kongamano la wanaume lililofanyika mkoani Iringa baadhi ya wananchi wameeleza kuwa mila…

20 November 2024, 18:13

DC Linda aiagazi Mafinga Mji kujenga uwanja wa michezo bajeti ijayo

Na Hafidh Ally Rajuun Mkuu wa wilaya ya Mufindi Dkt. Linda Salekwa ameiagiza Halmashauri ya Mafinga Mji kutenga fedha katika bajeti ijayo ili kujenga uwanja wa michezo. DC linda ameyasema hayo leo katika baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mafinga…

19 November 2024, 10:42

Moto watekeketeza hekta 400 za miti Sao Hill

Na Hafidh Ally Hekta zinazokadiriwa kufikia zaidi ya mia nne zimeteketea kwa moto katika mashamba ya Miti ya Sao hill yanayomilikiwa na Serikali pamoja na wananchi yaliyopo Wilaya ya Mufindi , Mkoani Iringa huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika. Akizingumza akiwa…

18 November 2024, 19:44

Shirika la DSW kutoa huduma rafiki za afya ya uzazi Iringa

Na Dorice Olambo Ili kupunguza changamoto za upatikanaji wa huduma rafiki za afya ya uzazi na maendeleo kwa vijana Shirika la DSW limetambulisha mradi wa Reproductive Equity Strategy in Tanzania (REST)  Mkoani Iringa. Akizungumza mara baada ya uzinduzi  wa  mradi…

14 November 2024, 09:31

Wanasiasa Iringa wamlilia Katibu wa CCM aliyeuliwa na wasiojulikana

Na Shaffih Kiduka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa pole na kulaani vikali mauaji ya Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Bi. Christina Kibiki (56) ambaye ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana. Akizungumza…

14 November 2024, 09:22

DC Kheri: Serikali italinda uhuru wa kuabudu

Na Adelphina Kutika Serikali mkoani Iringa imesema itaendelea kulinda uhuru wa kuabudu pamoja na kutoa ushirikiano kwa dini zote. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa Kheri James katika mahafali ya kwanza ya kuwatunukia wahitimu 14 wa Stashahada,…

12 November 2024, 13:11

Shalom awaasa vijana kujitokeza uchaguzi serikali za Mitaa

Na Fredrick Siwale Wananchi wa Kijiji cha Ugenza Kata ya Ikweha Mufindi Kaskazini wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa kuwapata viongozi wa serikali za Mitaa Nov 27 mwaka huu. RAI hiyo imetolewa Shalom Robert aliyekuwa mgeni wa heshimu katika…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.