Nuru FM

Recent posts

1 February 2025, 09:47

Halmashauri ya Mafinga Mji yapitisha bajeti ya bil 31.5 mwaka 2025/2026

Na Hafidh Ally Halmshauri ya Mafinga Mji  Mkoani Iringa imepitisha  jumla ya shilingi Bilioni 31.5 katika Bajeti ya Mwaka wa fedha 2025/2026. Akiwasilisha rasimu ya Mpango wa Bajeti ya 2025/2026 katika Baraza Madiwani,  Afisa Mipango Halmashauri ya Mji Mafinga, Peter…

30 January 2025, 13:43

Shirika la GAIN Iringa latoa mbegu za maharage lishe shuleni

Na Joyce Buganda Shirika la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) limegawa mbegu za maharage lishe katika shule za msingi na Sekondari Halmashauri ya Manispaa ya Iringa huku  lengo ni kuhamasisha kilimo cha mazao lishe na kupambana na tatizo la…

28 January 2025, 15:16

Takukuru Iringa yabaini kasoro miradi ya maendeleo

Na Hafidh Ally Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa Takukuru Mkoa wa Iringa imebaini kasoro katika mradi wa maji wenye thamani ya Bilioni 1.5 fedha za Mfuko wa Maji wa Taifa. Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Takukuru Mkoa…

23 January 2025, 11:50

Wadau wa mazingira na utalii kuja na mpango wa kutunza vivutio vya asili

Na Joyce Buganda Wadau wa Mazingira na utalii wametakiwa kuwa mabalozi kwa kutunza vivutio vya asili  ili jamii inayowazunguka iige  mfano kutoka kwao  Akizungumza wakati akifungua warsha ya siku mbili iliofanyika katika ukumbi wa hotel ya Sunset Iringa mjini Mkuu…

23 January 2025, 11:26

Lissu atakiwa kuzisemea changamoto Cha wananchi

Na Cleef Mlelwa Wanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mjini Makambako wamemtaka Mwenyekiti wao Tundu Lissu kuhakikisha wanajenga ofisi zake na kuwa tumaini kwa wananchi kwa kuzisemea changamoto zinazoikabili jamii hasa katika sekta ya afya,elimu na kilimo. Wakizungumza…

20 January 2025, 12:13

Tuna Finance Hub kutoka UoI kuwanufaisha vijana

Na Joyce Buganda Umoja wa Tuna Finance Hub kutoka Chuo Kikuu cha Iringa wamejidhatiti kuhakikisha vijana wa Iringa wanakombolewa kiakili na kifikra katika utafutaji na jinsi ya kupata maendeleo katika sekta mbalimbali. Akizungumza wakati wa kutoa elimu hiyo  katika chuo…

17 January 2025, 12:46

One Acre Fund yatoa miti Kilolo kutunza mazingira

Na Joyce Buganda Wananchi wa kijiji cha Itimbo, kata ya Ihimbo wilayani Kilolo Mkoani Iringa wamenufaika na msaada wa miti uliotolewa na Shirika la One Acre Fund. Wakizungumza wakazi wa kijiji hicho wakati wa kupokea miti hiyo Wamesema miti hiyo…

17 January 2025, 12:14

Mafinga Mji yafanya ufuatiliaji wa wanafunzi waliopangiwa shule mwaka 2025

Na Sima Bingilek Halmashauri ya Mji Mafinga Mkoani Iringa imefanya Ufuatiliaji wa wanafunzi wa kidato cha kwanza waliopangiwa katika Shule zetu za Sekondari tangu kufunguliwa kwa shule Jan 13 mwaka huu. Akizungumza wakati wa Ufuatiliaji huo Afisa Elimu Sekondari Halmashauri…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.