Recent posts
27 May 2025, 16:03
Maonesho ya biashara na viwanda yakuza uchumi Kilolo
Maonesho ya Biashara na Viwanda yaliyofanyika Wilaya ya Kilolo yameonesha kuwaleta pamoja wadau mbalimbali wa sekta hizo ili kukuza soko. Na Joyce Buganda Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Mhe. Rebecca Nsemwa Sanga amewapongeza chemba ya biashara viwanda na Kilimo TCCIA…
26 May 2025, 12:34
Kituo cha afya Mninga kuhudumia zaidi ya wananchi elfu 15
Wananchi wanaotembea umbali mrefu kufuata huduma za afya wataanza kuneemeka na huduma za afya. Na Ayoub Sanga Zaidi ya shilingi milioni 400 zimetumika katika ujenzi wa Kituo cha afya cha Mninga kilichopo kata ya Mninga, Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi…
21 May 2025, 15:18
Afisa manunuzi Kilolo akalia kuti kavu kwa kuchelewesha miradi
Kuchelewa kukamilika kwa miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Kilolo kimetajwa kusababishwa na Afisa Manunuzi ambaye alinunua Tofali moja kwa shilingi elfu 2500. Na Adelphina Kutika Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba, ametoa agizo kwa Katibu Tawala wa…
20 May 2025, 18:25
Madiwani Iringa waagizwa kusimamia ukusanyaji mapato
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imekuwa na mafanikio katika ukusanyaji wa mapato, ikipongezwa kwa kufanya vizuri. Na Joyce Buganda Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba amelitaka Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kusimamia vyema mapato yanayokusanywa…
20 May 2025, 07:40
RC Iringa kugombea ubunge Okt. 2025
Na Godfrey Mengele Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba ametangaza rasmi kuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu anaenda kugombea nafasi ya ubunge wa jimbo. Serukamba ameyasema hayo katika kikao cha halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Iringa kilicholenga…
18 May 2025, 20:51
Mwl Silvester apata kitimwendo cha umeme na miguu saidizi
Mwalim Silvester aliyekosa tabasamu kwa miaka 6 baada ya kupata ajali iliyompa ulemavu ameanza safari mpya ya maisha baada ya kupatiwa kitimwendo cha umeme, miguu saidizi na toyo ya kumuingizia kipato. Na Hafidh Ally na Fredrick Siwale Hatimaye Mwalimu wa…
18 May 2025, 19:46
Vijana 120 kunufaika na mradi wa usindikaji bidhaa za chakula Iringa
Na Adelphina Kutika ZAIDI ya vijana 120 kutoka kata 18 za Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wanatarajia kunufaika na mradi wa uendelezaji wa ujuzi wa kujiajiri kupitia usindikaji wa bidhaa za chakula. Hayo yameelezwa katika hafla ya ufunguzi wa mradi…
6 May 2025, 21:09
Polisi Iringa wamdaka Joseph kwa kumuua mwanaye na kumtupa chooni
Na Adelphina Kutika Jeshi la polisi mkoni Iringa linamshikilia Joseph Yustino Mhilila mkazi wa mtaa wa Lukosi Kata ya Mtwivila kwa tuhuma za kumuua mtoto wake timotheo Mhulikwa (6) aliyepotea tangu tarehe 1 mwezi wa nne 2025. Akizungumza na Nuru…
22 April 2025, 12:27
Jukwaa la WIW lalaani tukio la udhalilishaji kwa mwanachuo
Na Adelphina Kutika Jukwaa la Wanawake Mawakili na Wanasheria “Wowen Inspire Women” (WIW) linalaani vikali tukio la udhalilishaji lililofanywa na kundi la wanafunzi wa kike dhidi ya mwanafunzi mwenzao wa kike kama lilivyoonekana kupitia picha mjongeo iliyosambaa kwenye mitandao ya…
22 April 2025, 12:01
Waliofariki kwa ajali ya ambulance na toyo waagwa Mafinga
Na Fredrick Siwale Mkuu Wa Wilaya ya Mufindi Dkt. Linda Salekwa amewataka Wananchi kuwa waangalifu na kuzingatia usalama wao wanapoelekea kwenye shughuli za kujitafutia kipato, ikiwemo kuepuka kusafiri kwenye vyombo visivyokidhi vigezo vya usafiri salama. Dkt. Salekwa ameyasema hayo wakati…