Nuru FM

Recent posts

6 February 2023, 10:33 am

Serikali kuimarisha sheria ya kodi

Tunaomba kuboreshwe kwa baadhi ya sheria za kodi hapa Nchini ambazo zinawabana wafanyabiashara. Na Joyce Buganda Serikali imeombwa kuendelea  kuzingatia upya  sheria za kodi ili kuimarisha uzalendo  na ulipaji kodi wa hiari. Hayo yamezungumzwa na naibu katibu Mkuu wa  Jumuiya…

4 February 2023, 1:07 pm

Wazazi na walezi Iringa wahimizwa kutoa michango ya chakula shuleni

Chakula kikiwepo shuleni kinasaidia kuondoa mazingira magumu kwa watoto na kupelekea wawe na utulivu wakati wa masomo na kukuza taaluma. Na Ashura Godwin Wazazi na Walezi mkoani iringa wametakiwa kuendelea kuchangia fedha kwa ajili ya chakula shuleni ili kuondoa mazingira…

4 February 2023, 10:35 am

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi aapishwa kuanza majukumu yake

Nendeni Mkawe mstari wa mbele kufanya kazi kwa manufaa ya wananchi wenu ili kumrahisishia kazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na Joyce Buganda Mkuu wa Mkoa wa Iringa Halima Dendego amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Linda Selekwa …

3 February 2023, 2:47 pm

Vijana na wanawake washindwa kurejesha mikopo ya halmashauri

Wanawake na Vijana wanatakiwa wapate elimu ya umuhimu wa kufanya marejesho ya mikopo inayotolewa na Halmashauri ili wafanye marejesho kwa wakati. Na Ansigary Kimendo Kutokuwepo kwa elimu ya umuhimu wa kufanya marejesho ya mikopo inayotolewa na Halmashauri imetajwa kuwa chanzo…

2 February 2023, 3:07 pm

Serikali yaombwa kuwasaidia watoto wenye ulemavu Iringa

Serikali itupatie usaidizi wa namna ya kuwahudumia watoto wenye ulemavu Pindi wawapo shuleni kimasomo. Na Fabiola Bosco Wazazi wenye watoto walio na ulemavu Halmashauri  ya Manispaa ya Iringa wameiomba serikali kuwapa usaidizi wa namna ya kuwahudumia watoto wao pindi wawapo…

31 January 2023, 12:02 pm

Askari 12 watunukiwa vyeti Iringa

Askari waliotunukiwa vyeti vya utendaji kazi bora wamehimizwa kuwa wazalendo za kuzingatia haki pindi wanapotekeleza majukumu yao. Na Elizabeth Shirima Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ACP. Allan L. Bukumbi amewatunuku vyeti vya pongezi Askari Polisi 12 na mtumishi raia…

30 January 2023, 9:28 am

Wahariri wa Radio Jamii wapigwa msasa

Wahariri na waandishi wa vyombo vya habari vilivyopo chini ya Mtandao wa Redio Jamii Tanzania TADIO wameanza mafunzo ya namna ya kuandaa kuhariri na kuzituma habari kupitia tovuti ya mtandao huo. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo yaliyoanza Jan…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.