Nuru FM

Recent posts

25 March 2022, 7:02 am

Chelsea yaruhusiwa kuuza tiketi

CHELSEA itaruhusiwa kuuza tiketi za michezo ya ugenini, mechi za mataji zinazohusisha timu ya wanawake baada ya serikali ya Uingereza kufanya mabadiliko kwenye leseni maalum ya klabu hiyo. Klabu hiyo haikuweza kuuza tiketi tangu mmiliki Roman Abramovich alipowekewa vikwazo na…

24 March 2022, 5:25 pm

Tanzania Yatajwa Kuwa Asilimia 30 Ya Wagonjwa Wa Kifua Kikuu

Tanzania ni miongoni mwa nchi 30 zenye maambukizi makubwa ya ugonjwa wa kifua kikuu ambazo zinachangia asilimia 87 ya wagonjwa wote duniani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo Machi 24, 2022 kwenye maadhimisho siku ya kifua kikuu…

24 March 2022, 4:53 pm

Rais Samia Aagiza Nembo Ya Daraja La Tanzanite Kubadilishwa

RAIS Samia Suluhu Hassan, amezindua daraja jipya la Selender (TANZANITE), lenye urefu wa kilomita 1.03 ambalo limetumia sh.bilioni 243 na kuagiza nembo ya mwenge wa uhuru iondolewe na kuwekwa ya Tanzanite. Akizungumza katika ufunguzi huo amesema nembo ya daraja hilo…

23 March 2022, 7:42 am

Muundo Wa Mitaala Waanza Kuandaliwa

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) na Wizara ye Elimu na Mafunzo ya Amali (WEMA) kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) na Taasisi ya Elimu Zanzibar (TEZ) imekamilisha zoezi la kuchambua maoni ya wadau pamoja na kuandika ripoti ya…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.