Recent posts
31 March 2022, 16:50
Membe arudishiwa kadi ya uanachama CCM
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM kilichokitana leo Machi 31 mkoani Dodoma kimemsamehe alieyewahi kuwa waziri wa Mambo ya nje Benard Membe na kumrejeshea uanachama. Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM itikadi na uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema, msamaha…
29 March 2022, 16:12
TBS Yatoa Mafunzo Ya Viwango Kwa Wadau Sekta Ya Utalii Kanda Ya Kaskazini
Miongoni mwa sababu zinazozifanya bidhaa na huduma za nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania kushindwa kupenya na kuingia katika masoko ya kimataifa ni kushindwa kwa bidhaa na huduma hizo kukidhi matakwa ya viwango. Ameyasema hayo leo Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe.Said…
29 March 2022, 16:08
Serikali yafuta tozo 42 zao la Kahawa-Majaliwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuondoa tozo 42 kati ya 47 ambazo walikuwa wanatozwa wakulima wa kahawa wa Mkoa wa Kagera hadi kufikia tozo 5 tu ambazo itakuwa ni jumla ya Shilingi 267 kwa kila kilo…
29 March 2022, 16:01
Serikali Yaleta Mfumo Mpya Kwa Mashirika, Viwanda Vilivyobinafsishwa
SERIKALI kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina inakamilisha mfumo rahisi wa kupokea na kutunza kumbukumbu za Mashirika ya Umma na Viwanda vilivyobinafsishwa unaoitwa Ubinafsishaji Information System ili kuweza kufuatilia mafanikio na changamoto za mashirika na viwanda hivyo. Hayo yamesemwa na…
29 March 2022, 13:22
Serikali Yatoa Bilioni 2.5 Kukamilisha Ujenzi Wa Soko La Machinga Complex Dodoma
SERIKALI imetoa Sh.Bilioni 2.5 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa mradi wa soko la wazi la Machinga jijini Dodoma lenye uwezo wa kuchukua wafanyabiashara 4,000. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba ameyasema wakati akizungumza na Machinga wa Mkoa…
28 March 2022, 17:37
Profesa Ngowi afariki dunia ajalini
Profesa wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Honest Ngowi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 28, 2022 kwa ajali ya gari iliyohusisha lori na gari ndogo alilokuwa anasafiria kwenda mkoani Morogoro. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa ajali…
28 March 2022, 17:34
Tanzania, Liechtenstein Kuwekeza Katika Kilimo Hai
Tanzania na Liechtenstein zimekubaliana kuweka mpango mkakati wa kuwekeza katika kilimo hai na kuongeza thamani ya mazao ya kilimo katika mikoa ya Morogogo na Dodoma. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) ameyasema…
28 March 2022, 13:07
Dkt. Nchemba: Serikali Kuziongezea Bajeti Wizara Za Kilimo, Mifugo Na Uvuvi
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameahidi kuwa Serikali, katika bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2022/2023, itaongeza bajeti katika Sekta za Kilimo, Mifugo na Uvuvi ili sekta hizo ziweze kuchangia kipato cha wananchi na Taifa…
28 March 2022, 09:00
Uingereza kuipa Ukraine makombora ya kutungulia ndege kukabiliana na Russia
Waziri wa Ulinzi wa Uingereza ametangaza kuwa London imeamua kuipa Ukraine makombora ya kutungulia ndege ili kukabiliana na mashambulizi ya anga ya Russia. Shirika la habari la IRNA limemnukuu Ben Wallace akisema hayo jana Jumapili na kuongeza kuwa, London imeamua kuipa Ukraine…
26 March 2022, 07:34
Aucho Kamili Kuivaa Azam Fc
UONGOZI wa Yanga, umethibitisha kuwa, kiungo wa timu hiyo, Khalid Aucho, yupo fiti kwa asilimia 100, ambapo ameruhusiwa kujiunga na Timu ya Taifa ya Uganda, huku Yanga wakitumia hiyo kama sehemu ya kumuandaa kuivaa Azam FC. Aucho ni miongoni mwa…