Mazingira FM

Recent posts

12 November 2023, 12:27 pm

”Wakazi wa Bunda ombeni kuunganishiwa maji ili mabomba yasipasuke”

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Bunda Ndg. Mayaya Abraham Magesse amewasihi wakazi wa Bunda kuomba kuunganishiwa maji kwenye makazi yao kutoka Mamlaka ya Maji Bunda. Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Bunda Ndug. Mayaya Abraham Magesse amewasihi wakazi…

12 November 2023, 11:00 am

Mzee wa miaka (62) ahukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la ubakaji

Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu Nyakurunduma Matutu kuboja (62) mkazi Kiroreli kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka kumi. Na Adelinus Banenwa Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu Nyakurunduma Matutu kuboja (62)…

9 November 2023, 8:05 am

Ujenzi wa Sekondari Bunda Mjini wafikia 85%

Ujenzi wa shule ya Sekondari ya Bunda Mjini unagharimu shilingi 584 mil chini ya mradi wa SEQUIP yafikia asilimia 85. Na Adelinus Banenwa Ujenzi wa shule ya Sekondari ya Bunda Mjini unagharimu shilingi 584 mil chini ya mradi wa SEQUIP…

1 November 2023, 9:24 am

Wakazi 5000 kunufaika na mradi wa maji Manyamanyama, Mugaja

Zaidi ya wakazi 5000 kutoka kata ya Manyamanyama na maeneo jirani wanatarajia kunufaika na huduma ya maji kutoka mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Bunda BUWSSA. Na Adelinus Banenwa Zaidi ya wakazi 5000 kutoka kata ya Manyamanyama na…

1 November 2023, 9:15 am

Wilaya ya Bunda kulima ekari elfu 69 za pamba msimu huu

Kiasi cha ekari elfu 69,110 za zao la pamba zinatarajiwa kulimwa ndani ya wilaya ya Bunda katika katika msimu wa mwaka 2023 – 2024. Na Adelinus Banenwa Kiasi cha ekari elfu 69,110 za zao la pamba zinatarajiwa kulimwa ndani ya…

26 October 2023, 8:47 pm

RC Mtanda; Wanaotakiwa kumaliza mgogoro huu ni wananchi wenyewe

Mkuu wa mkoa wa Mara Mhe Saidi Mohamed Mtanda amewataka wananchi wa Vijiji vya Mekomariro kutoka Wilaya ya Bunda na Remong’orori kutoka Wilaya ya Serengeti kuhakikisha wanakaa na kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa…

23 October 2023, 9:18 am

UWT Bunda watembelea wagonjwa hospitali ya Manyamanyama

UWT Bunda watembelea hospitali ya Manyamanyama-Bunda kuonesha matendo ya huruma kwa wagonjwa katika kuadhimisha kilele cha wiki ya UWT Na Edward Lucas Maadhimisho ya wiki ya Wanawake UWT Wilaya ya Bunda mkoa wa Mara yamefikia kilele hapo jana 22 Oct…

22 October 2023, 11:01 pm

UWT Bunda: Wanawake tumejipa kazi nyingi, tumesahau malezi kwa watoto

“Akina mama tumejipa shughuli nyingi tumesahau wajibu wetu wa malezi, twende tuwalinde watoto” Na Edward Lucas Wanawake wameaswa kuzingatia malezi ya watoto ili kukabiliana na changamoto ya mmomonyoko wa maadili ndani ya jamii Wito huo umetolewa leo na Mjumbe Kamati…