Recent posts
21 August 2025, 11:19
Wananchi walalamikia ubovu wa barabara ya Mgololo
Barabara ya Mgololo yenye urefu wa kilomita 80 imekuwa chanzo cha vifo, na kusababisha kutokukua kwa uchumi wa wananchi wa eneo hilo. Na Hafidh Ally Wananchi wa Tarafa ya Mgololo Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa wanakabiliwa na changamoto ya Ubovu…
20 August 2025, 11:15
Wazazi wahimizwa kushirikiana katika malezi ya watoto
Malezi ni mchakato wa kumtunza, kumuelekeza, kumuongoza na kumuelimisha mtoto hadi anapofikia umri wa kujisimamia mwenyewe. Na Joyce Buganda Wazazi na walezi mkoani Iringa wametakiwa kushirikiana kwa pamoja katika Malezi ya watoto ili kuwasaidia katika ukuaji wa maadili mema katika…
19 August 2025, 12:40
Likotiko achukua fomu kugombea udiwani Gangilonga
Mgombea huyo amechukua fomu kutetea nafasi yake ya Udiwani kupitia CCM baada ya kuongoza Kata hiyo kuanzia mwaka 2020-2025. Na Adelphina Kutika Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Gangilonga, Mheshimiwa Likotiko Kenyata,amechukua rasmi fomu ya kugombea tena nafasi ya udiwani kupitia…
18 August 2025, 10:51
RC Kheri asisitiza usimamizi wa miradi ya maendeleo
Miradi ya maendeleo ikisimamiwa ipasavyo hadi kukamilika kwake itasaidia kukuza huduma bora za kijamii kwa wananchi. Na Adelphina Kutika Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James, amewataka Wakuu wa Taasisi ya TANROADS, TARURA, RUWASA na IRUWASA kuhakikisha wanasimamia ipasavyo…
15 August 2025, 09:40
Bil 2.3 kujenga barabara ya Pawaga-Izazi
Ujenzi wa barabara ya Pawaga-Izazi utasaidia wananchi kukuza uchumi wao kwa kusafirisha mazao Yao hasa mpunga. Na Hafidh Ally Wananchi wa Tarafa ya Pawaga Wilaya ya Iringa wameipongeza serikali kwa kutenga zaidi ya Shilingi bilioni 2.3 katika mwaka wa fedha…
14 August 2025, 10:40
Wananchi wapata elimu ya kudhibiti lishe duni
Elimu ya lishe iliyotolewa na Shirika la World Vision imelenga kupambana na changamoto ya lishe ambayo imeendelea kutafutiwa uvumbuzi Na Adelphina Kutika Wananchi wa kijiji cha Kidilo Kata ya Kihanga Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, wameendelea kuchukua hatua dhidi ya…
14 August 2025, 10:20
MTAKUWWA kuwashirikisha wanaume kutokomeza ukatili Iringa
Mpango wa kutokomeza ukatili wa kijinsia unalenga kuongeza usawa wa kijinsia katika jamii. Na Joyce Buganda Serikali imekuja na Mpango wa Taifa wa kutokomeza ukatili wakijinsia kwa wanawake na watoto MTAKUWWA awamu ya pili mpango unatekelezwa nchi nzima kwa kumtaka…
11 August 2025, 12:29
World Vison yajenga vyoo shule ya Kidilo
Katika kukabiliana na magonjwa ya Mlipuko kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Kidilo, Shirika la World Vision Tanzania limejenga vyoo vya kisasa. Na Adelphina Kutika Zaidi ya wanafunzi mia mbili wa Shule ya Msingi Kidilo, iliyopo kata ya Kihanga Wilaya…
7 August 2025, 16:11
Bil. 7.5 kutatua miundombinu ya shule Iringa
Uboreshwaji wa miundombinu ya shule imetajwa kuwa sababu ya kukuza kiwango Cha ufaulu Mashuleni. Na Adelphina Kutika Mkoa wa Iringa umepokea jumla ya Shilingi bilioni 7.5 kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kutatua changamoto za uchakavu wa miundombinu ya elimu…
7 August 2025, 10:48
Wananchi Iringa walaani Mtoto kutupwa dampo
Tukio hilo la kusikitisha limebainika baada ya vijana wanaokusanya plastiki kugundua mwili huo, uliokuwa umefichwa chini ya takataka. Na Hafidh Ally Wananchi wa Mtaa wa Ngome Kata ya Kihesa Manispaa ya Iringa wamelaani tukio la mwili wa Mtoto mchanga kutupwa…