Nuru FM

Recent posts

8 May 2023, 11:22 am

Mbunge Midimu aibana serikali kujenga Daraja Simiyu

Na Mwandishi wetu Serikali imetakiwa kujenga Daraja la Mto Duma- Bariadi lililopo Mkoani Simiyu ambalo limekuwa likijaa kipindi Cha Mvua. Hayo yamezungumzwa Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi Cha maswali na majibu na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu Esther…

29 April 2023, 12:02 pm

Wananchi Iringa waaswa kuacha kilimo Cha Bangi.

Na Joyce Buganda Wananchi Mkoani iringa wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kutojihusisha na kilimo cha zao la bangi linaloleta madhara kwa vijana kwani ni kosa kisheria. Akizungumza na kituo hiki  kamishina msaidizi wa polisi ambae pia ni mkuu wa kitengo…

26 April 2023, 12:07 pm

Makala fupi kuhusu ukataji miti na mkaa unavyoharibu mazingira

Wananchi wa kijiji cha Makifu kilichopo tarafa ya Idodi mkoani Iringa wanakabiliwa na janga la ukame kutokana na uharibifu wa mazingira unaondelea katika maeneo hayo. MWANAHABARI WETU HAFIDH ALLY AMETUANDALIA TAARIFA KAMILI………………………..

26 April 2023, 11:48 am

Iringa yaanza kutekeleza afua za lishe kutokomeza udumavu kwa watoto

Na Adelphina Kutika Mkoa wa Iringa wenye asilimia 59.9 ya udumavu umeanza kutekeleza mpango wa utekelezaji wa afua za lishe zinazolenga kukabiliana na changamoto hiyo na utapiamlo kwa watoto chini ya miaka mitano. Afisa lishe mkoa wa Iringa Anna Nombo…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.