Nuru FM

Recent posts

26 April 2023, 12:07 pm

Makala fupi kuhusu ukataji miti na mkaa unavyoharibu mazingira

Wananchi wa kijiji cha Makifu kilichopo tarafa ya Idodi mkoani Iringa wanakabiliwa na janga la ukame kutokana na uharibifu wa mazingira unaondelea katika maeneo hayo. MWANAHABARI WETU HAFIDH ALLY AMETUANDALIA TAARIFA KAMILI………………………..

26 April 2023, 11:48 am

Iringa yaanza kutekeleza afua za lishe kutokomeza udumavu kwa watoto

Na Adelphina Kutika Mkoa wa Iringa wenye asilimia 59.9 ya udumavu umeanza kutekeleza mpango wa utekelezaji wa afua za lishe zinazolenga kukabiliana na changamoto hiyo na utapiamlo kwa watoto chini ya miaka mitano. Afisa lishe mkoa wa Iringa Anna Nombo…

25 April 2023, 8:35 pm

Afungwa Jela miaka 30 kwa Kumbaka Mwanaye Iringa

Na Frank Leonard MAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela Imani Mfilinge (46) baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka mwanaye wa miaka 13. Mfilinge ambaye ni mkulima na mkazi wa kijiji cha Isimani alitenda kosa…

20 April 2023, 2:50 pm

Viongozi wa Dini na Serikali waungana Kupinga ulawiti na Ushoga Iringa

Matukio ya ulawiti na Ushoga yamezidi kukithiri katika Jamii jambo lililopelekea Viongozi wa Dini na Serikali kukemea vikali. Na Hafidh Ally Viongozi wa Dini na serikali Mkoani Iringa wameungana kupinga vita vitendo vya ulawiti na ushoga ambavyo ni kinyume na…

19 April 2023, 1:18 pm

Mwanahabari Rashid Msigwa Afariki Dunia katika ajali Eneo la ipogolo

Na Mwandishi wetu Mwanahabari Rashid Msigwa Mkazi wa Igumbilo Manispaa ya Iringa amefariki katika ajali iliyotokea eneo la Ipogolo usiku wa kuamkia leo. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ACP Allan Bukumbi amesema kuwa Msigwa…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.