Recent posts
23 October 2025, 11:29
Madereva waaswa kuzingatia weledi
“Udereva ni taaluma kama taaluma nyingine na ni vyema wakazingatia weledi wanaootekeleza majukumu yao” Na Adelphina Kutika Madereva wa Magari ya Masafa marefu ndani na nje ya Tanzania wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia msingi kama ya Jeshi la Polisi…
23 October 2025, 10:46
Villa aahidi kutatua Kero ya Maji Mafinga
“Nichagueni ili niwaletee huduma bora ya maji katika eneo lenu” Villa Na Fredrick Siwale Mgombea wa Ubunge Jimbo la Mafinga Mjini kupitia chama cha Mapinduzi CCM Dickson Nathan Lutevele Villa ameahidi kutatua kero ya Maji kwa wananchi wa eneo la…
23 October 2025, 10:25
Abiria waaswa kukata Tiketi halali za Mabasi
Na Noela Nyalusi Jeshi la Polisi Kikosi Cha usalama Barabarani Mkoa wa Iringa limewataka abiria wanaosafiri kwenda mikoani kukata tiketi katika kampuni husika ili kuepuka kulipa kiasi kikubwa tofauti na bei elekezi. Hayo yamezungumwa na Afisa Usalama barabarani wilaya ya…
21 October 2025, 11:07
Iringa yapokea magari 9 ya zimamoto
“Magari haya yatasaidia kupunguza majanga ya moto katika jamii” RC Kheri Na Hafidh Ally Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James amekabidhi rasmi magari na vitendea kazi vya kisasa kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ili kuimarisha utendaji wa…
18 October 2025, 08:56
Takukuru yawanoa wanahabari Iringa
“Wanahabari wakielimishwa kuhusu rushwa watatusaidia kutoa elimu kwa wananchi” Swela Na Joyce Buganda na Adelphina Kutika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Iringa imeendesha mafunzo maalum kwa waandishi wa habari ili kuwajengea uwezo wa kuelimisha jamii…
17 October 2025, 09:04
Taasisi zinavyohamasisha wanawake kujihusisha na Siasa
Makala hii inaelezea Jinsi Taasisi Binafsi na za Kiserikali zinavyoshiriki kuhamasisha wanawake kujihusisha na masuala ya Uchaguzi na siasa. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Nuru FM imekuandalia makala hii maalum kujua ni kwa kiwango gani Taasisi Binafsi, za Kidini…
17 October 2025, 08:20
Nuru FM yatoa msaada Hospital ya Rufaa
Nuru FM kupitia Kampeni yake ya ulipo tupo imeendelea kufanya matukio ya kijamii kuelekea katika kilele cha miaka 17 toka kuanzishwa kwake. Na Hafidh Ally Kuelekea kusherehekea Miaka 17 toka Nuru fm Radio ilipoanishwa, Wafanyakazi wa Kituo hicho wametembelea hospital…
15 October 2025, 13:17
Ushirikishwaji wa jamii kukuza uchumi
Na Ayoub Sanga Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kusisitiza umuhimu wa kuanzisha na kuimarisha maeneo ya kimkakati ya kiuchumi, kwa lengo la kuongeza tija na ushirikishwaji wa wananchi katika shughuli za maendeleo ya taifa. Katika kongamano la…
14 October 2025, 10:02
Viongozi wa Dini kuhimiza amani uchaguzi mkuu
Wakati sahihi kwa viongozi wa dini kutoa ujumbe unaowaunganisha Watanzania, badala ya maneno yanayoweza kuchochea chuki au migawanyiko. Na Ayoub Sanga Waandishi wa habari na viongozi wa dini Mkoani Iringa wametakiwa kutumia nafasi zao kuhimiza amani na umoja wa kitaifa,…
14 October 2025, 09:48
Machinga Complex Iringa kuwa suluhu ya wajasiriamali
Kukamilika kwa ujenzi wa Soko la Machinga Complex Iringa utarasihisha wajasiriamali kufanya kazi zao kwa uhuru. Na Adelphina Kutika Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Ngajilo, amesema kukamilika kwa ujenzi wa…