Recent posts
9 October 2025, 17:17
Iringa yatoa mikopo ya milioni 240
“Mikopo hiyo inaenda kuwanufaisha kiuchumi vijana, wanawake na watu wenye ulemavu” Na Hafidh Ally Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imefanikiwa kukabidhi mikopo yenye thamani ya Tsh. Milioni 240 katika robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwa vikundi 28.…
24 September 2025, 10:27
Changamoto wanazopitia wanawake wanapojihusisha na siasa
Makala hii inaelezea Changamoto ambazo wanawake wanazipitia pindi wanapoonesha nia ya kutaka kujihusisha na masuala ya kisiasa kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Octoba 2025. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Wakati Tanzania ikitarajiwa kuingia katika kinyang’anyanyiro cha kupata viongozi wapya…
24 September 2025, 09:49
Mvamba: Vijana shirikini kwenye Uchaguzi 2025
“Vijana ndio hazina ya Leo hivyo wanapaswa kuchagua viongozi wanaowataka kwa maslahi Yao na Taifa” Alisema Mvamba Na Hafidh Ally Vijana Wilaya ya Iringa wameaswa kutokukubali kuathiriwa na taarifa za kupotosha zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii kwa lengo la kuwavunja…
23 September 2025, 20:30
DC Sitta; Lindeni miundombinu ya shule
Bweni hilo litasaidia wanafunzi kupata Muda wa kusoma na kuongeza ufaulu. na Joyce Buganda Walimu wilaya ya Iringa wametakiwa kuhakikisha wanawasimamia ipasavyo wanafunzi kulinda na kutunza miundombinu ya shule. Akizungumza wakati wa ukaguzi wa mabweni katika Shule ya Sekondari William…
23 September 2025, 20:00
Madaktari Bingwa kutoa huduma za kibingwa iringa
Na Adelphina Kutika Madaktari bingwa wapatao 45 kupitia mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wamewasili katika Mkoa wa Iringa kwa lengo la kutoa huduma za kibingwa kwa wananchi ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakilazimika kusafiri nje ya mkoa iringa kufuata…
22 September 2025, 10:28
Wanahabari waagizwa kuandika habari zenye tija
“Habari zisizo na maadili huleta taharuki katika Jamii”DC Sitta Na Adelphina Kutika Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Mhe. Benjamin Sitta, amewaagiza waandishi wa habari kutumia mitandao ya kijamii kwa kuandika na kusambaza habari zenye tija kwa jamii, na si zile…
18 September 2025, 12:23
Wananchi watakiwa kutumia bidhaa za ndani
Kutumia bidhaa zinazozalishwa hapa nchini itapelekea kukuza uchumi Na Adelphina Kutika Wananchi mkoani Iringa wametakiwa kutumia bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani, ili kukuza uchumi wa nchi na kuongeza pato la taifa. Wito huo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Iringa…
15 September 2025, 09:42
Wakamatwa na laini za simu 94 wakitapeli Iringa
Watuhumiwa hao walikuwa na line za simu zilizosajiriwa kwa vitambulisho vya watu tofauti tofauti ambazo walikuwa wakizitumia kutapeli wananchi. Na Hafidh Ally Jeshi la polisi Mkoa wa Iringa limewakamata Innocent Moshi (30), mfanyabiashara na mkazi wa Tenguru Mkoa wa Arusha…
13 September 2025, 09:04
TRA Iringa yazindua dawati la uwezeshaji biashara
Dawati hilo lina lengo la kuboresha uhusiano kati ya TRA na wafanyabiashara. Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Iringa imezindua Dawati Maalumu la Uwezeshaji Biashara, hatua inayolenga kuboresha mahusiano kati ya serikali na wafanyabiashara sambamba na…
11 September 2025, 09:53
George akutwa amejinyonga Iringa
Changamoto ya watu kujiua inapaswa kufanyiwa uchunguzi na kutatuliwa ili kupunguza vifo katika jamii. Na Godgrey Mengele Mwanaume mmoja ajulikanaye kwa jina la George Severin Manga mkazi wa Kitongoji cha Kihesa katika Kijiji cha Ilambilole amekutwa amejinyonga kwa kile kinachodhaniwa…