Nuru FM

Recent posts

20 August 2025, 11:15

Wazazi wahimizwa kushirikiana katika malezi ya watoto

Malezi ni mchakato wa kumtunza, kumuelekeza, kumuongoza na kumuelimisha mtoto hadi anapofikia umri wa kujisimamia mwenyewe. Na Joyce Buganda Wazazi na walezi mkoani Iringa   wametakiwa kushirikiana kwa pamoja katika Malezi ya watoto ili kuwasaidia katika ukuaji wa maadili mema katika…

19 August 2025, 12:40

Likotiko achukua fomu kugombea udiwani Gangilonga

Mgombea huyo amechukua fomu kutetea nafasi yake ya Udiwani kupitia CCM baada ya kuongoza Kata hiyo kuanzia mwaka 2020-2025. Na Adelphina Kutika Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Gangilonga, Mheshimiwa Likotiko Kenyata,amechukua rasmi fomu ya kugombea tena nafasi ya udiwani kupitia…

18 August 2025, 10:51

RC Kheri asisitiza usimamizi wa miradi ya maendeleo

Miradi ya maendeleo ikisimamiwa ipasavyo hadi kukamilika kwake itasaidia kukuza huduma bora za kijamii kwa wananchi. Na Adelphina Kutika Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James, amewataka Wakuu wa Taasisi ya TANROADS, TARURA, RUWASA na IRUWASA kuhakikisha wanasimamia ipasavyo…

15 August 2025, 09:40

Bil 2.3 kujenga barabara ya Pawaga-Izazi

Ujenzi wa barabara ya Pawaga-Izazi utasaidia wananchi kukuza uchumi wao kwa kusafirisha mazao Yao hasa mpunga. Na Hafidh Ally Wananchi wa Tarafa ya Pawaga Wilaya ya Iringa wameipongeza serikali kwa kutenga zaidi ya Shilingi bilioni 2.3 katika mwaka wa fedha…

14 August 2025, 10:40

Wananchi wapata elimu ya kudhibiti lishe duni

Elimu ya lishe iliyotolewa na Shirika la World Vision imelenga kupambana na changamoto ya lishe ambayo imeendelea kutafutiwa uvumbuzi Na Adelphina Kutika Wananchi wa kijiji cha Kidilo Kata ya Kihanga Halmashauri ya  Wilaya ya Iringa, wameendelea kuchukua hatua dhidi ya…

14 August 2025, 10:20

MTAKUWWA kuwashirikisha wanaume kutokomeza ukatili Iringa

Mpango wa kutokomeza ukatili wa kijinsia unalenga kuongeza usawa wa kijinsia katika jamii. Na Joyce Buganda Serikali imekuja na Mpango wa Taifa wa kutokomeza ukatili wakijinsia kwa wanawake na watoto MTAKUWWA awamu ya pili mpango unatekelezwa nchi nzima kwa kumtaka…

11 August 2025, 12:29

World Vison yajenga vyoo shule ya Kidilo

Katika kukabiliana na magonjwa ya Mlipuko kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Kidilo, Shirika la World Vision Tanzania limejenga vyoo vya kisasa. Na Adelphina Kutika Zaidi ya wanafunzi mia mbili wa Shule ya Msingi Kidilo, iliyopo kata ya Kihanga Wilaya…

7 August 2025, 16:11

Bil. 7.5 kutatua miundombinu ya shule Iringa

Uboreshwaji wa miundombinu ya shule imetajwa kuwa sababu ya kukuza kiwango Cha ufaulu Mashuleni. Na Adelphina Kutika Mkoa wa Iringa umepokea jumla ya Shilingi bilioni 7.5 kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kutatua changamoto za uchakavu wa miundombinu ya elimu…

7 August 2025, 10:48

Wananchi Iringa walaani Mtoto kutupwa dampo

Tukio hilo la kusikitisha limebainika baada ya vijana wanaokusanya plastiki kugundua mwili huo, uliokuwa umefichwa chini ya takataka. Na Hafidh Ally Wananchi wa Mtaa wa Ngome Kata ya Kihesa Manispaa ya Iringa wamelaani tukio la mwili wa Mtoto mchanga kutupwa…

5 August 2025, 11:58

Ngajilo ashinda kura za maoni Iringa Mjini

Chama cha Mapinduzi CCM kimesema kuwa mchakato huo wa kupata wagombea wa Ubunge utaamuliwa katika vikao vya ndani ya Chama. Na Hafidh Ally Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia mchakato wake wa ndani wa kura za maoni kwa ajili ya kumpata…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.