Nuru FM
Nuru FM
20 May 2022, 07:45
HOSPITALI ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kupitia kitengo cha kifua kikuu na ukoma imefanikiwa kuibua wagonjwa 1,728 wenye maambukizi ya kifua kikuu kuanzia mwaka 2020 hadi Januari 2022. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa wilaya hiyo Dkt Wilfred Rwechungura,…
20 May 2022, 07:40
Bunge limeidhinisha bajeti ya Sh trilioni 2.7 ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) bungeni mjini Dodoma . Akiwasilisha bajeti hiyo jana , Waziri wa Ulinzi, Stergomena Tax, amesema katika Mwaka wa Fedha…
20 May 2022, 07:37
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba amesema anavutiwa na utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan, hasa kutokana na kuwa msikivu kwa makundi mbalimbali. Lipumba ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara katika uwanja wa Ali Hassan…
20 May 2022, 07:35
Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya imeziruhusu nchi wanachama kuendelea kununua gesi kutoka Urusi lakini bila ya kukiuka vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi baada ya nchi hiyo kuimavia Ukraine. Hata hivyo Halmashauri hiyo inazishauri nchi wanachama kutofungua akaunti za sarafu…
20 May 2022, 07:13
Uongozi wa Simba SC umetangaza rasmi kuweka kambi jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ utakaowakutanisha dhidi ya Young Africans Jumamosi (Mei 28), katika Uwanja wa CCM Kirumba. Simba SC imetangaza rasmi…
18 May 2022, 16:23
Ofisi ya Katibu Tawala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa imepokea wazo la Balozi wa Utalii Nchini Isabella Mwampamba kuwajengea nyumba ya kisasa walemavu watatu wa kijiji cha Lulanzi ili waweze kuwa na makazi bora. Akizungumza katika ofisi yake…
15 May 2022, 13:08
Mkemia Mkuu wa Serikali Daktari Fidelis Mafumiko ameionya jamii kuepuka ununuzi na matumizi holela ya dawa zisozosajiliwa wala kuthibitishwa na mamlaka husika ikiwemo kuangalia aina za viambata au kemikali zilizotumika katika kutengeneza dawa hizo. Dk. Mafumiko ameyasema hayo alipotembea banda…
15 May 2022, 13:05
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amemwagiza Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Singida kutoa elimu kuhusu Sheria ya Madini kwa wachimbaji wadogo wa madini ili waendeshe shughuli zao kwa kufuata Taratibu, Sheria na Kanuni za Madini. Dkt. Kiruswa ametoa…
15 May 2022, 13:02
Siku ya leo mei 15 na Mei 16 huenda likatokea tukio la kupatwa kwa mwezi kwa mujibu wa utafiti wa NASA, ambapo mwezi utakua karibu na Dunia na utaonekana kwa ukubwa zaidi ukiwa na rangi nyekundu. Kwa mujibu wa…
14 May 2022, 09:07
Wananchi wa kijiji cha lulanzi Wilaya ya Kilolo wamekamilisha kuchimba Mfereji wa kupeleka huduma ya maji ya bomba katika familia ya watu watatu wenye ulemavu. Akizungumza na Nuru fm mara baada ya kukamilisha kuchimba mfereji huo Mwenyekiti wa kijiji hicho…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.