Nuru FM

Recent posts

24 June 2022, 08:00

COSTECH Yafadhili Mradi Wa Unenepeshaji Ng’ombe Nchini.

TUME ya Taifa Sayansi na Teknolojia ( COSTECH), imetoa zaidi ya sh milioni 400 kwa ajili ya Miradi miwili mojawapo ukiwa wa Uandaaji wa Lishe Bora ya Gharama Nafuu kwa Unenepeshaji Ng’ombe nchini. Aidha Mradi mwingine ni ukarabati wa maabara…

20 June 2022, 11:53

Shirika La COMPASSION Lapongezwa Kwa Kuwezesha Vijana Kiuchumi

SHIRIKA la kidini la Compassion International Tanzania limepongezwa kwa jitihada zake nzuri za kusaidia watoto na vijana walio na umri chini ya miaka 18 kiroho na kimwili ikiwemo kuwapa ujuzi utakaowasaidia kujikwamua kiuchumi. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt…

19 June 2022, 16:55

Maagizo sita ya Waziri Mkuu Majaliwa kuhusu anuani za makazi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amezitaka taasisi zote zenye dhamana ya masuala ya ardhi na makazi kuhakikisha zinaleta mikakati thabiti ya kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi iliyoainishwa wakati wa utekelezaji wa zoezi la operesheni ya anwani za makazi. Ametoa wito…

19 June 2022, 16:51

DRC yafunga mipaka yake na Rwanda

Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC), imefunga mipaka yake yote na Rwanda huku hali ya mvutano kati ya nchi hizo mbili ukiendelea kuongezeka kufuatia madai ya Rwanda kuunga mkono waasi wa M23 wanaopigana na jeshi la DRC. Mbali…

19 June 2022, 16:47

Wizara ya Afya yaagiza Sikoseli kupimwa vituo ngazi ya msingi

Serikali imeingiza ugonjwa wa Sikoseli kwenye mpango mkakati wa kupambana na magonjwa yasiyoambukiza na kuhakikisha huduma za vipimo na matibabu zinapatikana katika vituo vya kutolea huduma za afya ngazi ya msingi. Hayo yamesemwa leo Juni 19 na Naibu Katibu Mkuu…

11 June 2022, 08:25

wazee 54 wameripotiwa kuuawa nchini kwa imani za kishirikina

Kwa mujibu wa jeshi la Polisi katika kipindi cha Januari hadi Desemba mwaka 2020 kulikuwa na matukio 54 ya kuuawa kwa wazee nchini, lakini katika kipindi cha Januari hadi Desemba, 2021 hapakuwepo na tukio lolote la kuuawa kwa wazee nchini.…

11 June 2022, 08:17

TBS Yateketeza Bidhaa Za Vyakula Na Vipodozi Katavi

BIDHAA mbalimbali za vyakula na vipodozi vyenye thamani takribani ya shilingi za Kitanzania milioni 7 zimeteketezwa katika dampo la Manispaa ya Mpanda baada ya kukutwa hazikidhi viwango kwa mujibu sheria ya Viwango Na 2 Sura 130. Bidhaa hizo zilizoteketezwa mjini…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.