Mazingira FM

Recent posts

6 March 2025, 5:29 pm

Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na mamba akioga

Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na Mamba alipokwenda ziwani asubuhi, rafiki apanda juu ya mamba kunusuru ndugu yake. Na Adelinus Banenwa Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Baraka Jumanne Maseke mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Neruma kata…

4 March 2025, 9:23 am

Mtoto Angel aliyezama kwenye rambo apatikana akiwa amefariki

Mwili wa mtoto huyo umeopolewa na askari wa zimamoto na uokoaji walikuwa eneo la tukio tangu March 2, 2025 walipopata taarifa za tukio hilo. Na Adelinus Banenwa Mtoto Angel Wilson 8 mwanafunzi wa darasa la pili shule ya msingi Kataryo…

3 March 2025, 8:11 am

Mtoto wa miaka 8 azama maji kwenye rambo wakati akichota maji

Angel Wilson ( 8) mwanafunzi wa darasa la pili shule ya msingi Kataryo B halmashauri ya Musoma Vijijini anatajwa kuzama kwenye rambo wakati akiteka maji. Na Adelinus Banenwa Mtoto mmoja aliyetambulika kwa jina la Angel Wilson ( 8) mwanafunzi wa…

3 March 2025, 7:49 am

Nyamuswa yetu kwanza yadhamiria kurudisha tabasamu kijijini

Kikundi hicho kilianzishwa tangu mwaka 2021 na kilianza katika dhima ya kusaidia watu misibani na kusaidia batibabu kwa wale wanaougua lakini hawana uwezo wa kwenda hospitali. Na Adelinus Banenwa Kiasi cha pesa taslimu shilingi milioni moja laki sita na elfu…

25 February 2025, 9:00 am

Mbunge Maboto: Wazazi timizeni jukumu la chakula shuleni kuongeza ufaulu

Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Mhe. Robert Chacha Maboto amewataka wazazi kujitolea katika kuhakikisha watoto wanapata chakula shuleni ili kuongeza hali ya taaluma. Na Adelinus Banenwa Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto amewataka wazazi kujitoa…

22 February 2025, 5:23 pm

Pamba yavaliwa njuga Bunda, matarajio makubwa ya uzalishaji

Imeelezwa kuwa Serikali kupitia bodi ya pamba Tanzania imedhamilia wakulima wa zao hilo kulima kwa tija badala ya kulima mashamba makubwa lakini mavuno kidogo. Hayo yamesemwa na mkaguzi wa zao la pamba wilayani Bunda Ndugu Hemedi Kabea mbele ya katibu…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com