Nuru FM
Nuru FM
24 March 2022, 17:19
Mamlaka ya Maji na usafi wa Mazingira IRUWASA Wilaya ya Kilolo inatarajia kuandaa bajeti na kuipeleka kwa Mkuu wa Wilaya yenye lengo la kupeleka huduma ya maji katika Familia ya walemavu watatu wa kijiji cha Lulanzi Wilayani Kilolo. Bajeti hiyo…
24 March 2022, 16:53
RAIS Samia Suluhu Hassan, amezindua daraja jipya la Selender (TANZANITE), lenye urefu wa kilomita 1.03 ambalo limetumia sh.bilioni 243 na kuagiza nembo ya mwenge wa uhuru iondolewe na kuwekwa ya Tanzanite. Akizungumza katika ufunguzi huo amesema nembo ya daraja hilo…
24 March 2022, 06:00
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameweka alama kubwa ya mafanikio katika maendeleo ya sekta ya masoko ya mitaji katika kipindi cha siku 365 za uongozi wake. Akielezea mafanikio makubwa yaliyopatikana, Afisa Mtendaji Mkuu wa…
24 March 2022, 05:44
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo kuwachukulia hatua Kali za kisheria wananchi na viongozi wote watakao hatibu vyanzo vya Maji na kukata hovyo miti. Ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya siku ya maji wilaya ya Iringa yaliyofanyika katika…
23 March 2022, 16:55
Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Peres Magiri amewatembelea familia ya walemavu watatu waliopo katika kijiji cha Lulanzi ikiwa imepita siku chache baada ya Balozi wa Utalii Nchini Tanzania Bi. Isabela Mwampamba kufika na kuanza mchakato wa kutatua changamoto zinazowakabili. Changamoto…
23 March 2022, 07:42
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) na Wizara ye Elimu na Mafunzo ya Amali (WEMA) kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) na Taasisi ya Elimu Zanzibar (TEZ) imekamilisha zoezi la kuchambua maoni ya wadau pamoja na kuandika ripoti ya…
21 March 2022, 17:36
Familia ya watu watatu wenye ulemavu wa Viungo Katika Kijiji cha Lulanzi kilichopo Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa wamekabidhiwa msaada wa Mahitaji ya Kibinadamu na Balozi wa Utalii Tanzania Bi Isabela Mwampamba. Msaada waliopewa ni pamoja na Mchele, mafuta ya…
21 March 2022, 06:57
Balozi wa Utalii Nchini Tanzania Isabela Mwampamba ameishauri serikali kutengeneza miundombinu ya barabara ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kutoka iringa Mjini. Balozi Isabela ameyasema hayo mara baada ya kutembelea hifadhi ya Taifa ya Ruaha kwenye ziara ya wanawake kutoka…
15 March 2022, 08:00
WANANCHI wa kijiji cha Chiwana na Umoja kata ya Chiwana wilaya ya Tunduru,wameishukuru Serikali kwa kutimiza ahadi ya kuwapatia huduma ya maji safi na salama na kumaliza tatizo la miaka mingi la wananchi hao kutumia maji ya visima vya asili…
15 March 2022, 07:51
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa vifaa tiba kutoka Serikali ya Ufaransa, kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa UVIKO-19. Akipokea msaada huo kwa niaba ya Serikali, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Balozi Liberata Mulamula,…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.