Recent posts
19 March 2023, 7:23 pm
CHADEMA; Wampa tano Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara.
Naibu Katibu Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Zanzibar SALUMU MWALIMU amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa. Kiongozi huyo wa CHADEMA ameyasema hayo kwenye…
18 March 2023, 5:52 pm
Huduma za Rita sasa ni mtandaoni.
Wakala wa ufilisi na udhamini nchini rita umekamilisha hatua ya kwanza ya mfumo wa usajili wa matukio mbalimbali ya binadamu ikiwemo vizazi , vifo , ndoa na taraka kupitia mtandao ambao unajulikana kama E RITA jambo litakalorahisisha upatikanaji wa huduma…
13 March 2023, 8:43 am
DAS Bunda, maafisa kilimo toeni elimu kwa wakulima matumizi sahihi ya viuadudu k…
Katibu tawala wilaya ya Bunda Salumu Halfani Mtelela amewataka maafisa kilimo ngazi ya halmashauri na kata kuwaelimisha wakulima namna bora ya kutumia pembejeo za kilimo zinazoletwa na serikali hasa katika zao la pamba. Hayo ameyasema wakati akipokea viuatilifu vya zao…
11 March 2023, 2:08 pm
Polisi Bunda watembelea wagonjwa hospitali ya Bunda DDH kuonesha matendo ya huru…
Jeshi la polisi wilaya ya Bunda mkoani Mara wametembelea na kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa wagonjwa hospitali ya Bunda DDH ikiwa ni siku ya familia kwa jeshi hilo yenye kauli mbiu ( Bunda Family Day Tushirikiane Kutokomeza Uharifu )…
10 March 2023, 12:58 pm
Baraza la madiwani Bunda mjini lapitisha bajeti ya billion 32, 923,527,000 kwa m…
Baraza la madiwani halmashauri ya mji wa bunda limeketi katika kikao maalum kujadili rasimu ya mpango wa bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023-2024. Kikao hicho cha baraza kimefanyika hii leo tarehe 9 Machi katika…
10 March 2023, 12:52 pm
DC Naano: Maslahi binafsi, usimamizi duni, ni miongoni mwa sababu za mapato ya h…
Mkuu Wa Wilaya Ya Bunda Daktari Vicent Naano Anney Amesema Kuwa Changamoto Nyingi Zilizopo Katika Halmashauri ya wilaya ya bunda Zinatokana Na Usimamizi Duni wa Watendaji Unaosababishwa Na Watu Kupenda Maslahi Yao Binafsi Suala Linaloaibisha Taasisi Ya Saerikali. Hayo Ameyasema…
8 March 2023, 11:54 am
Wanawake BUWASSA Bunda waadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada
Wafanyakazi wanawake wa mamlaka ya maji na usafi wa mazingira bunda BUWASA wamesherekea siku ya wanawake duniani kwa kutoa vitu mbalimbali kwa watoto wahitaji na kutembea wodi ya mama waliojifungua hospitali ya Bunda DDH Akizungumza katika siku hiyo kaimu mkurugenzi…
4 March 2023, 6:57 pm
Madiwani Halmashauri ya Mji wa Bunda walia na mpango wa wanufaika wa TASAF kufa…
Madiwani Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara walia na mpango wa wanufaika wa TASAF kufanyishwa shughuli za kulima barabara ndipo wapewe fedha zao. Wakizungumza katika Baraza la Madiwani mkutano wa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2022/2023 uliofanyika…
3 March 2023, 2:39 pm
Wakaazi elfu 7,000 kunufaika na mradi wa maji Misisi-Zanzibar katika Halmashauri…
Zaidi ya watu 7,000 ambao ni wastani wa kaya 1000 wanatarajiwa kunufaika na mradi wa maji wa Misisi-Zanzibar katika Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara. Hayo yamebainishwa na Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Maji Bunda BUWASA, Esther Gilyoma wakati…
3 March 2023, 2:37 pm
Baraza la madiwani Bunda mjini laagiza kukagua uwekezaji eneo la mlima balili.
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara, limehitimisha mjadala juu ya eneo la uwekezaji la Landmasters kwa maelekezo ya kamati kukaa na kwenda na mapendekezo ambayo yatawawezesha kufanya maamuzi. Uelekeo huo umetolewa tarehe 2 March 2023 katika…