Mazingira FM
Mazingira FM
25 April 2022, 09:07
Choo cha Mcharo iliyosababisha Zahanati kufugwa
21 April 2022, 17:37
Ally Hashimu Hakimu ameibuka mshindi kwenye mashindano ya kutunza Quran tukufu wilaya ya Bunda mashindano hayop yamefanyika leo April 16, 2022 katika msikiti wa Ijumaa Bunda mjini ambayo yameandaliwa na Kamati ya Kukuza na Kueneza Uislamu Bunda huku mgeni…
15 March 2022, 17:27
Balozi wa Pamba nchini Tanzania Mh Agrey Mwanri amesema wakulima wa Pamba wamekuwa na malalamiko kuhusu upungufu wa Dawa kutokana na maeneo ya mashamba yao kutokuwa na vipimo sahihi Kauli hiyo ameitoa Leo 15 march 2022 katika siku ya tatu…
14 March 2022, 18:23
Balozi wa Pamba Tanzania Mh Agrey Mwanri amesema mwitikio wa wakulima wa zao la Pamba Wilayani Bunda wa kulima kwa mstari umekuwa mkubwa tofauti na ilivyokuwa zamani ambapo wakulima walikuwa wanalima kwa kulusha mbegu Hayo ameyasema Leo 14 march 2022…
13 March 2022, 22:32
Balozi wa Pamba nchini Tanzania Mh Agrey Mwanri ametoa wiki Moja kwa watu wote waliochukua viuatilifu vya zao la Pamba bila kuwa na mashamba kuweza kujisalimisha kwa viongozi wa zao la Pamba ngazi ya kata na WilayaAmetoa agizo hilo Leo…
10 March 2022, 20:20
Zaidi ya Bilion 3.4 zimetolewa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Bunda katika utekelezaji wa Mpango wa mabadiliko ya tabia ya nchi Akizungumza katika mafunzo maalumu ya usimamizi wa fedha za miradi yaliyofanyika Leo march 10, 2022 kwa Madiwani na wataalamu…
9 March 2022, 20:52
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mh Joshua Nassar amezindua rasmi zoezi la uwekaji wa anuani za makazi Hafla hiyo imefanyika viwanja vya stendi ya zamani Bunda mjini Leo march 9, 2022 Akizungumza kwenye uzinduzi huo mkuu wa Wilaya ya Bunda…
9 March 2022, 06:57
Wakati Dunia ikiadhimisha siku ya wanawake Duniani nchini Tanzania pia ni miongoni mwa mataifa yaliyoungana na Dunia kusherekea siku hii muhimu kwa kauli Mbiu isemayo *@Haki na usawa kwa maendeleo endelevu. Jitokeze kuhesabiwa#* Mkoani Mara Mwandishi wa Habari na mtangazaji…
8 March 2022, 09:36
Kuelekea siku ya kilele Cha maadhimisho siku ya wanawake duniani march 8 jumuiya ya UWT wilaya ya Bunda na kamati ya utekelezaji chama Cha Mapinduzi wametembelea hospital ya Manyamanyama iliyopo Halmashauri ya Mji wa Bunda ili kuwaona wanawake waliojifungua katika…
8 March 2022, 07:49
Halmashauri ya Mji wa Bunda imeadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ambayo kidunia huadhimishwa tarehe 08/03/2022. Katika Maadhimisho hayo, Mgeni rasmi ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe. Joshua Nassari amewapongeza wanawake wote wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com