Recent posts
28 November 2022, 10:16 pm
Bunda; Mhe Silinde ataka ujenzi wa madarasa ya sekondari unaoendelea ukamilike…
Naibu waziri wa TAMISEMI mh. David Silinde amemtaka mkuu wa wilaya ya Bunda Joshua Nassari kusimamia na kuhakikisha ujenzi wa madarasa unaoendelea katika shule mbalimbali ndani ya wilaya unakamilika kwa wakati ili mwezi wa kwanza wanafunzi watumie madarasa hayo.…
27 November 2022, 2:32 pm
Bunda: Mtoto wa miaka 15 ashikwa Mamba wakati akinywesha mifugo mtoni
Gunje malemi Gunje 15 mkazi wa Kunzugu kata ya Kunzugu Halmashauri ya Mji wa Bunda mkoani Mara mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi kunzugu ameshikwa mamba wakati akinywesha mifugo mto Rubana. Akizungumza na Mazingira fm baba mzazi wa…
25 November 2022, 6:56 pm
Tatizo la Maji Safi na salama Bado changamoto Chuo Cha Kisangwa FDC
Tatizo la Maji Safi na salama imetajwa kuwa bado changamoto katika Chuo Cha maendeleo ya wananchi Kisangwa FDC Hayo yamebainishwa na mkuu wa chuo hicho Edmundi Nzowa katika mahafali ya 36 ya Chuo hicho ambapo jumla ya wahitimu…
25 November 2022, 6:42 pm
TRA Bunda: Yatoa msaada kwa kituo Cha kulea watoto Cha Mt. Frances
Mamlaka ya mapato Tanzania wilaya ya Bunda Mkoani Mara imeadhimisha wiki ya shukurani kwa mteja kwa kuepela vitu mbalimbali kama vile Mchele,Sukurani,Mafuta ya kula,Sabuni ,Mafuta ya kujipaka vyenye thamani ya shilingi laki nne na elfu kumi na mbili katika…
17 November 2022, 9:36 pm
Bunda; Rasmi Serikali yatangaza kuwaamisha wakazi wa kata Nyatwali kupisha mbuga…
Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa uamzi rasmi wa kulitwaa eneo la kata ya Nyatwali kwa matumizi ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Uamuzi huo umetolewa na katibu tawala wilaya ya Bunda Salumu Mtelela katika mkutano wa baraza…
17 November 2022, 9:31 pm
BUNDA;Betri za Taa za barabarani Bunda zaibwa Viongozi wa kata na wilaya waapa k…
Viongozi wa Kata ya Balili Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara wakerwa na uharibifu wa taa za barabarani unaoendelea kujitokeza katika eneo la Balili. Wakizungumza na Radio Mazingira Fm kwa nyakati tofauti viongozi hao wamesema baadhi ya wananchi wasiokuwa…
11 November 2022, 1:48 pm
Baraza la Madiwani Bunda; Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Bunda Magafu Ma…
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Bunda Magafu Manumbu ameagiza utekelezaji wa ujenzi wa madarasa ya Sekondari uende haraka na kama Kuna changamoto zozoto waseme haraka ili ndani ya mwezi December ujenzi uweze kukamilika. Manumbu ameyasema hayo katika Kikao Cha…
11 November 2022, 9:13 am
Bunda; mwanafunzi kidato cha pili apoteza maisha baada ya kushambuliwa na mamba…
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Yusuph Yohana Marwa umri miaka 15 mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Guta na mkazi wa mtaa wa nyabehu kata ya Guta halmashauri ya Mji wa Bunda amepoteza maisha baada ya…
2 November 2022, 8:16 pm
DC Bunda,awataka viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Bunda kujitathmini kama wa…
Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Joshua Nassari amewataka viongozi wa halmashauri ya wilaya ya bunda kujitathimini kutokana na usimamizi duni wa miradi ya maendeleo katika halmashauri hiyo. Mhe Nassar ameyasema hayo leo Nov 2 katika ziara yake wakati akikagua…
2 November 2022, 7:42 pm
DC Nassar awaita ofisini kwake viongozi wa kata kueleza kwa nini hawajaanza ujen…
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe Joshua Nassar ameagiza uongozi wa kata ya Nyamang’uta kufika ofisini kwake ili kutoa maelezo kwa nini hadi sasa hawajaanza ujenzi wa darasa hata Moja Kati ya Madarasa Saba yanayotakiwa kujengwa kutokana na…