Mazingira FM

Recent posts

24 February 2023, 9:07 am

Mwenezi CCM Bunda aipa kongole Radio Mazingira

Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Bunda, Gasper Charles  amewahasa wananchi kuendelea kuisikiliza Radio Mazingira Fm kwa ajili ya kupata habari na taarifa mbalimbali. Wito huo ameutoa leo tarehe 23 Feb 2023 wakati alipotembelea ofisi za Radio Mazingira…

23 February 2023, 9:24 pm

Sitaki niongoze wilaya ya watu wenye njaa : DC Bunda

Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vicent Naano amesema hataki kuongoza Wilaya ambayo watu wake Wana njaa Kauli hiyo ameitoa kwenye kikao Cha Baraza maalumu la madiwani lililoketi Juma hili kulijadili zoezi la Nyatwali Amesema katika maeneo mengi ya…

23 February 2023, 9:22 pm

DC Naano asema wakazi wa Nyatwali watapata haki zao

Mkuu wa wilaya ya Bunda mhe Dkt Vicent Naano amewatoa hofu madiwani  wa Halmashauri ya Mji wa Bunda kuwa hoja zao juu ya suala la Nyatwali wamezichukua na watashauriana na mamlaka husika kuweza kupata muafaka uliyo sahihi. Mhe Dkt Naano…

20 February 2023, 2:59 pm

TAWA wafanikiwa kumuua mamba anayedaiwa kumuua mwananchi Nyatwali

ASKARI wa wanyamapori TAWA wamefanikiwa kumuua mamba anayedaiwa kumuua mwananchi aliyekuwa akifanya shughuli za uvuvi mtaa wa Tamau kata ya nyatwali Halmashauri ya mji wa Bunda Kutokana na maelekezo ya Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Bunda kwa askari ya…

20 February 2023, 2:52 pm

Aliyeshikwa na mamba Nyatwali apatikana akiwa amepoteza maisha.

Zoezi la utafutaji wa ndugu  Mayila Maleba mwenye umri wa miaka (37) aliyekamatwa na mamba wakati akiendelea na shughuli za uvuvi wa samaki kandokando ya ziwa Victoria eneo la Tamau,wamefanikiwa kumpata akiwa amepoteza maisha. Mwili umekabidhiwa kwa ndugu ili taratibu…

16 February 2023, 12:36 pm

Ajali ya basi la Afrika Raha dereva alikuwa ‘bize’ na simu

Mwendokasi na dereva kuwa ‘bize’ na simu wakati wa safari ni chanzo cha ajali ya Basi la Afrika Raha iliyotokea siku ya jumapili tarehe 12 Feb 2023 eneo la Mwibagi Wilaya ya Butiama mkoa wa Mara barabara ya Mwanza Musoma.…

16 February 2023, 12:31 pm

Aliyepambana na mamba kwa dakika 15 majini asimulia alivyonusurika

Boniface Nkwande mkazi wa Buzimbwe kata ya Bulamba Halmashauri ya wilaya ya Bunda Mkoani Mara anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya DDH Bunda baada ya kushambuliwa na mamba na kujeruhiwa mkono wake wa kulia. Akisimulia tukio hilo amesema lilitokea jumamosi…