Recent posts
23 November 2024, 3:04 pm
Mahafali ya 38 Kisangwa FDC tatizo la maji kubaki historia chuoni
Chuo cha Kisangwa kinatoa kozi za ufundi na ujuzi ambapo mwanafunzi akihitimu lazima awe na uwezo wa kufanya kitu. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa chuo cha Maendeleo ya wananchi Kisangwa (Kisangwa FDC) ameishukuru serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania…
22 November 2024, 1:29 pm
CCM yazindua kampeni Bunda, yasema Rais Samia kamaliza kila kitu
“Wananchi kuna kila sababu ya kuwachagua viongozi wa CCM kwa kuwa serikali inayoongozwa na CCM imefanya mengi na yanaonekana kuanzia sekta ya Afya maji, barabara, umeme, elimu n.k” Bi Joyce Mang’o. Na Adelinus Banenwa Chama cha mapinduzi wilaya ya Bunda…
22 November 2024, 1:03 pm
Mbunge Maboto akabidhi bima za afya kwa wazee 500 Bunda
hatua ya kuwakatia bima wazee hao ni sehemu ya ahadi yake aliyoitoa kuhakikisha mshahara wake wa ubunge unarudi kuwahudumia wananchi. Na Adelinus Banenwa Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto amekabidhi bima za afya wazee wapatao 500…
20 November 2024, 2:49 pm
Wananchi wapewa tahadhari kuhusu vishoka wa maji
Mara nyingi maunganisho mapya ya maji huwavutia vishoka hivyo wananchi wanatakiwa kuwa makini kwa kuwa BUWSSA haipokei fedha tasrimu kwenye maunganisho mapya ya maji Na Adelinus Banenwa Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Bunda BUWSSA wamewataka wananchi kufuata utaratibu…
15 November 2024, 12:26 pm
BUFADESO wahaidi kuwa kinala maonesho ya kilimo mseto Mara
Baraka amesema kama walivyofanya miaka mingine nyuma na msimu huu wamejipanga kushinda katika maonesho hayo kutokana na ubora wa bidhaa zinazozalishwa na wakulima wao. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, inaendelea kujenga mazingira wezeshi…
14 November 2024, 7:56 pm
Diwani, DED wapongezwa na baraza Bunda DC
Ni kutokana na kudhibiti utoro na ukusanyaji wa mapato yaliyovuka lengo Na Adelinus Banenwa Baraza la madiwani halamshauri ya wilaya ya Bunda limempatia diwani wa kata ya Nyamuswa Mhe Ibrahim Mganga Igai kiasi cha shilingi laki tano kwa kuthibiti utoro…
14 November 2024, 7:52 pm
‘Walimu, wazazi shirikianeni kudhibiti utoro kwa wanafunzi’
Ni sahihi kwamba hali ya elimu hairidhishi kutokana na uangalizi na usimamizi mdogo wa wazazi kwa watoto wao. Na Adelinus Banenwa Mdhibiti Ubora wa Elimu Halmashauri ya Wilaya ya Bunda ametoa wito kwa wazazi na walezi kushirikiana na walimu katika…
14 November 2024, 7:41 pm
Madiwani Bunda Mjini watishia kwenda mahakamani kudai fidia Nyatwali
Madiwani wanahitaji kujua thamani ya fedha kwa mali za halamshauri ya mji wa Bunda ambazo zimefanyiwa tathimini katika kata ya Nyatwali ambapo imechukuliwa na Tanapa. N Adelinus Banenwa Madiwani wa Halmashauri ya Bunda mji watishia kwenda mahakamani juu ya malipo…
7 November 2024, 8:56 pm
DC Bunda: Usipange kukosa Bunda Nyama choma Festival
Mkuu wa wilaya ya Bunda amewataka wakazi wote wa Bunda kushiriki kikamilifu katika tamasha hilo maana linazo fursa nyingi za kiuchumi kuanzia kwa wafanyabiashara hadi bodaboda. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Dkt Vicent Naano amewataka wakazi wote…
6 November 2024, 9:36 pm
Wenyeviti waliomaliza muda wao watunukiwa hati za pongezi Bunda stoo
Viongozi wakemea makundi na usaliti, “mwanachama yeyote atayehusika katika usaliti wa chama na ushahidi ukapatikana adhabu ni moja tu kufukuzwa chama” Na Adelinus Banenwa Chama cha mapinduzi kata ya Bunda stoo kwa kushirikiana na diwani wa kata hiyo ndugu Flavian…