Recent posts
5 May 2024, 6:22 pm
Ushirikiano na maslahi bora kwa walimu chachu kuongeza ufaulu Nyamakokoto
Serikali ikizishughulikia changamoto za walimu na wazazi wakiwa na ushirikiano na walimu itasaidia kiwango cha ufaulu kitaongezeka. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wazazi na walezi kushrikiana na walimu pamoja na serikali ili kuinua kiwango cha ufaulu wa wanafunzi shuleni…
5 May 2024, 5:41 pm
Mbunge Maboto atoa msaada wa mahindi kwa waathirika wa maji Nyatwali
Ongezeko la kina cha maji ziwa Victoria na wingi wa maji mto Rubana kulivyowaacha mamia ya wakazi wa Nyatwali bila makazi. Na Adelinus Banenwa Zaidi ya kaya 360 zimeathirika na maji katika kata ya nyatwali halmashauri ya mji wa Bunda…
2 May 2024, 10:25 am
Mwenyekiti wa senet Mara awafunda wahitimu chuo cha ualimu Bunda
Suala la uzalendo, kuzingatia maadili kujituma katika kufanya kazi vyachukua nafasi nasaha za viongozi kwenye mahafali ya wanafunzi wa CCM chuo cha ualimu Bunda Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa vijana wasomi nchini kuwa na maadili mema na kufanya kazi…
1 May 2024, 10:45 am
Pikipiki za CCM Bunda zazua kizaazaa, viongozi watoa matamko
Wengine watajwa kuzitumia kama bodaboda wengine kubebea samaki wengine watajwa kuzigawa kwa watoto wao Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi CCM wilaya Bunda wakili Leonard Magwayega amepiga marufuku kwa viongozi wa jumuiya hiyo waliopewa pikipiki za chama kuzitumia…
29 April 2024, 11:09 am
Nyumba zazingirwa na maji Nyatwali, wakazi wayakimbia makazi yao
Baadhi ya wakazi wa Nyatwali katika mitaa ya Kariakoo na Tamau wamelazimika kuyakimbia makazi yao baada ya nyumba zao kuzingirwa na maji ya mafuriko, tahadhari ya magonjwa ya mlipuko yatolewa. Na Adelinus Banenwa Baadhi wakazi wa kata ya Nyatwali katika…
28 April 2024, 3:02 pm
Wananchi Bunda wapewa somo kuepuka athari za kiboko
Kufuatia matukio yaliyoripotiwa wiki iliyopita ya kiboko kujeruhi na kuua, Afisa Wanyamapori TAWA atoa somo namna ya kuepuka athari za mnyama huyo Na Edward Lucas Wananchi wameaswa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Kiboko na kutoa taarifa mapema kwa mamlaka husika…
25 April 2024, 1:11 pm
Ofa ya zuku neema kwa wakazi wa Mara na mikoa jirani
Zuku yaombwa kufikisha huduma vijijini kutatua changamoto ya vingamuzi kuganda kipindi cha masika. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa uongozi wa kampuni ya zuku kufikisha huduma ya visimbuzi vyao vijijini ili nao wanufaike na huduma zao. Wito huo umetolewa na…
24 April 2024, 9:52 am
Mto wafurika, wanafunzi sekondari Sizaki wakwama kurejea nyumbani
Wanafunzi 26 wa sekondari ya Sizaki washindwa kurejea nyumbani baada ya kukuta mto umefurika maji. Na Edward Lucas Wanafunzi 26 shule ya sekondari Sizaki wameshindwa kurudi kwao Kisangwa April 23, 2024 na kulazimika kulala mtaa wa Mcharo baada ya kushindwa…
23 April 2024, 11:05 am
Wazazi, walezi Bunda waitikia chanjo saratani mlango wa kizazi
Watoto wa kike miaka 9 – 14 wapatao 11,650 wilayani Bunda wapata chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi (HPV) siku ya uzinduzi April 22, 2024 Na Adelinus Banenwa Zaidi ya watoto wa kike miaka 9 hadi 14 wapatao 41370…
22 April 2024, 10:04 am
Auawa na kiboko saa tano usiku
Mwanaume wa miaka 55 Bunda auawa na kiboko saa tano usiku akiwa kandokando ya bwawa. Na Edward Lucas Juma Ryoba Waise maarufu Kebuchwa(55)mkazi wa Kijiji cha Mihingo amefariki dunia baada ya kushambuliwa na mnyama kiboko katika bwawa kijiji cha Mihingo…