Mazingira FM

Recent posts

31 July 2024, 8:04 am

Mlinzi akutwa ameuawa na wanaodaiwa ni majambazi akiwa lindoni

Mwanaume mmoja ambaye ni mlinzi akutwa ameuawa katika eneo lake la lindo wezi waondoka na tv na vinywaji Na Adelinus Banenwa Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Baraka Juma 38 mkazi wa mtaa wa mapinduzi kata ya Bunda mjini ammmmmm…

30 July 2024, 9:44 am

BUWSSA yaendelea kutanua mtandao wa maji Bunda

Mkurugenzi wa mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Bunda BUWSSA Bi, Ester Giryoma awewataka wananchi kufuata utaratibu wa maunganisho mapya ya maji ili kuepuka vishoka wanaoweza kuwaibia fedha zao Na Mariam Mramba Wananchi wa kata ya Bunda stoo, halmashauri …

29 July 2024, 11:16 am

Mwanamke atoa mimba na kukitupa kiumbe kwenye shimo la choo

Mwanamke adaiwa kutoa mimba ya miezi saba na kukitupa kiumbe kwenye shimo la choo mjini Bunda. Na Adelinus Banenwa Tukio limetokea July 29, 2024 mtaa wa Makumbusho kata ya Nyasura Halmashauri ya mji wa Bunda. Mwenyekiti wa mtaa wa Makumbusho…

21 July 2024, 9:08 pm

Mama adaiwa kutoa mimba na kutupa kiumbe kwenye pipa la taka Bunda

Mwanamke mmoja ambaye hajajulikana, anadaiwa kutoa mimba inayokadiriwa kuwa na miezi mitano hadi sita na kisha kukitupa kiumbe hicho kwenye pipa la kutunzia taka Na Mussa Kagole na Fadhil Mramba Mwanamke mmoja ambaye hajajulikana, anadaiwa kutoa mimba inayokadiriwa kuwa na…

21 July 2024, 8:27 pm

Mwalimu amsumbua mwanafunzi kimapenzi, mzazi amhamisha shule

Na Thomas Masalu Robert Chilare, mzazi wa mwanafunzi wa kike wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Mekomaliro, iliyoko kata ya Mihingo, wilaya ya Bunda, amemhamishia mtoto wake shule nyingine baada ya kuteswa mara kwa mara na mmoja wa…

19 July 2024, 8:28 pm

UWT Bunda wapigwa msasa kuelekea uchaguzi

Wito umetolewa kwa wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi serikali za mitaa 2024 na uchaguzi…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com