Mazingira FM
Mazingira FM
20 January 2022, 10:31
Watu wanne akiwemo mwanamke mmoja wakazi wa kijiji cha Rigicha wanashikiliwa na Polisi wilaya ya Serengeti kwa tuhuma ya mauaji ya kikongwe kwa ahadi ya ujira wa sh500,000 wakimtuhumu kwa ushirikina. Hata hivyo taarifa za awali zinadai kwamba hadi wanakamatwa…
13 January 2022, 06:24
Watu 14 wamepoteza maisha wakiwemo wanahabari watano na abiria wa kawaida katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwa moja ni la abiria aina ya Toyota Hiace na jingine lenye namba za usajili STK 8140 mali ya Serikali lililokuwa limebeba waandishi wa…
12 December 2021, 13:51
Bahati Galaya 32 mkazi wa Myatwali kijana aliyeshikwa MAMBA eneo la Nyatwali mtaa wa Kariakoo Halmashauri ya Mji wa Bunda usiku wa kuamkia ijumaa ya tarehe 10 dec 2021 amepatikana akiwa amepoteza maisha Akizungumza na Redio mazingira fm mwenyekiti wa…
3 December 2021, 07:11
Zaidi ya miche ya miti 5700 imepandwa katika eneo la safu za mlima Balili, Halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara ili kuendelea kuhifadhi na kutunza mazingira. Akizungumza wakati wa zoezi hilo lililofanyika katika eneo la Tanapa kanda ya magharibi…
28 November 2021, 08:00
Katibu tawala Wilaya ya Bunda Salum Mtelela ameelekeza TAKUKURU Wilaya ya Bunda kuichunguza TARURA Bunda Mjini kutokana na malalamiko mbalimbali ya utekelezaji usiyofaa wa miradi ya miundombinu ya Barabara ndani ya Halmashauri ya Mji wa Bunda Maelekezo hayo ameyatoa kwenye…
28 November 2021, 07:50
Wanafunzi wapatao 126 level ya pili kutoka chuo Cha maendeleo ya Wananchi Kisangwa FDC wanategemea kumaliza masomo yao mapema mwezi huu Akizungumza katika maafari mkuu wa chuo Cha maendeleo ya Wananchi Kisangwa Edmund Nzowa amesema maafari hayo ni ya 31…
28 November 2021, 07:35
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Sharifu Mriba 26 mzanaki mkazi wa kyabakali amepoteza Maisha wakati akichimba Madini Mgodi wa Kunanga Tukio hilo limetokea tarehe 17 Nov 2021 katika machimbo ya Kunanga Stooni kinyambwiga kata ya Guta Halmashauri ya Mji…
12 November 2021, 17:38
Shule ya msingi ya Bigutu iliyopo kata ya Bunda stoo Halmashauri ya Mji wa Bunda inakabiliwa na chambamoto mbalimbali kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi wanaosomea shuleni hapo Akizungumza na Mazingira fm mwalimu mkuu wa shule hiyo Yohana Albert amesema…
12 November 2021, 17:20
Siku moja tangu utaratibu wa kugawa mbegu kwa wakulima kwa njia ya mkopo kuanza kwenye AMCOS ya Kunzugu mkulima mwezeshaji na katibu wa chama hicho cha ushirika amesema mbegu zote zimeisha kwa yale makampuni yaliyoleta fomu za kujaza wakulima wanaokopa…
10 November 2021, 20:58
Baadhi ya Wakulima wa zao la pamba kata ya Kunzugu Halmashauri ya Mji wa Bunda wameiomba serikali isimamie zoezi la usambazaji wa mbegu ya pamba kwa kuwakopesha wakulima kama ilivyokuwa msimu uliopita tofauti na utaratibu wa msimu huu unaowataka walipie…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com