Mazingira FM

Recent posts

28 April 2022, 1:18 pm

Bunda: Ahukumiwa miaka 2 jela kwa kosa la kujeruhi

Mahakama ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imemuhukumu kifungo cha miaka 2 gerezani na fidia  ya sh. Laki tatu ndugu Maisha Ngoko maarufu kwa jina la  Kishosha Ngoko 31  mkazi wa kijiji cha Kihumbu kwa kosa la kumjeruhi kwa kumkata…

26 April 2022, 7:24 pm

apoteza maisha akitajwa kufukiwa na kifusi kwenye machimbo ya kokoto :Bunda

Machimbo ya kokoto  Manyamanyama Mwanamume mmoja aliyetambulika kwa jina la James Mathias 40 mkazi wa Manyamanyama Halmashauri ya Mji wa Bunda amepoteza Maisha akitajwa kufukiwa na kifusi wakati akichimba kokoto kwenye machimbo ya kokoto Manyamanyama. Wakizungumza na Mazingira Fm mashuhuda…

21 April 2022, 5:37 pm

mashindano ya Quran Bunda Ally Hashimu Hakimu aibuka mshindi

  Ally Hashimu Hakimu ameibuka mshindi kwenye mashindano ya kutunza Quran tukufu wilaya ya Bunda mashindano hayop yamefanyika leo April  16, 2022 katika msikiti wa Ijumaa Bunda mjini ambayo yameandaliwa na Kamati ya Kukuza na Kueneza Uislamu  Bunda huku mgeni…

10 March 2022, 8:20 pm

Bunda yajipanga kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi

Zaidi ya Bilion 3.4 zimetolewa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Bunda katika utekelezaji wa Mpango wa mabadiliko ya tabia ya nchi Akizungumza katika mafunzo maalumu ya usimamizi wa fedha za miradi yaliyofanyika Leo march 10, 2022 kwa Madiwani na wataalamu…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com