

10 December 2024, 6:16 pm
Kwa sasa makundi hayana tija badala yake wenyeviti wanatakiwa kuungana na viongozi wengine wakiwemo watendaji ili kuleta maendeleo katika eneo husika ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero mbalibali za wananchi kupitia mikutano ya hadhara ,kukemea vitendo vya ukatili wa kijinsia…
10 December 2024, 10:30 am
Mwaka 2024 matukuo yaliyoripotiwa 1099 ukilinganisha na matukio 1163 sawa kupungua kwa matukio 64 ambayo ni sawa na asilimia 5.8 Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa ukosefu wa sheria mahsusi inayopinga vitendo vya ukeketaji, ukosefu wa nyumba salama za serikali na…
7 December 2024, 10:48 pm
Mradi wa uendelezaji miji TACTICS kwa mji wa Bunda utakapoanza utasaidia barabara nyinyi za bunda mjini Kupata lami. Na Adelinus Banenwa Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto amesema mradi wa uendelezaji miji TACTICS kwa mji wa…
7 December 2024, 9:53 pm
Zao la pamba limepoteza kabisa ushawishi kwa wakulima kutokana na changamoto zake kwa sasa likiwemo suala la bei, pamoja na uzalishaji hafifu wa zao hilo. Na Adelinus Banenwa Kikao cha kama ya ushauri ya wilaya ya Bunda DCC kilichoketi tarehe…
7 December 2024, 7:56 pm
watoa maudhui mtandaoni wanao wajibu wa kuhakikisha wanazingatia sheria za maudhui mtandaoni ili kuepuka habari au maudhui ya upotoshaji na udhalilishaji.
6 December 2024, 8:33 pm
Changamoto za wanawake kutoaminiana na jamii kushindwa kumuamini mwanamke bado ni kikwazo kwa wanawake wengi kushindwa kupata nafasi ya kujieleza kikamilifu kwenye jamii Hayo yameelezwa na Rebecca Gibore katika kipindi cha radio mazingira fm kilichokuwa bna mada isemayo uhuru wa…
5 December 2024, 10:26 am
Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto atangaza nia yake ya kugombea tena nafasi ya Ubunge wa jimbo la bunda mjini uchaguzi mkuu wa 2025. Na Adelinus Banenwa Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha…
5 December 2024, 10:15 am
BUWSSA kutumia miezi sita kukamilisha ujenzi wa mradi wa maji wa bilioni 1.6 kata ya Wariku mkurugenzi atoa tahadhari ya wizi wa vifaa. Na Adelinus Banenwa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira Bunda BUWSSA imetangaza kuanza kutekeleza mradi…
5 December 2024, 9:53 am
Katiba ya Tanzania imetoa uhuru wa watu kujieleza lakini changamoto kubwa kwa watu wenye ulemavu ni hoja zao na mawazo yao kutopewa nguvu katika jamii. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa mapokeo hafifu ya hoja zinazotolewa na watu wenye ulemavu ni…
27 November 2024, 5:23 pm
“Utaratibu ni mzuri ila changamoto kubwa ni majina hayaonekani vizuri hayajapangwa kwa kufuata mtililiko wa herufi” Na Adelinus Banenwa Wananchi walioteremka vituoni lei kupiga kura kutimiza haki yao ya msingi ya kuwachagua viongozi wa serikali za mtaa katika eneo la…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com