Recent posts
23 August 2024, 6:14 pm
Project Zawadi yakabidhi jengo lenye nyumba sita za walimu Bunda
Halmashauri ya wilaya ya Bunda ina upungufu wa nyumba 500 za walimu ili kukidhi mahitaji ya walimu. Na Fadhil Mramba Halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara inakadiriwa kuwa na upungufu wa nyumba za walimu zaidi ya mia tano ambavyo…
23 August 2024, 3:12 pm
‘Wakurugenzi wa halmashauri pimeni maeneo ya wafugaji kuondoa mogogoroR…
Wakurugenzi tengeni na pimeni maeneo ya malisho ili kuondoa migogoro baina ya wakulima na wafugaji. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa Wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kutenga na kupima maeneo ya wafugaji ili kuondoa migogoro baina ya wakulima na wafugaji…
23 August 2024, 2:10 pm
Vitambulisho 528 vya NIDA vyakwama ofisi ya mtendaji Bunda mjini
Wananchi watakiwa kuepuka kutoa namba zao za NIDA ovyo ili kuepuka changamoto ya kutumika vibaya kwa namba hizo. Na Gaudensia Zakayo Jumla ya vitambulisho 528 vya taifa (NIDA) havijachukuliwa katika kata ya Bunda mjini. Hayo yamesemwa na Mtendaji wa kata…
21 August 2024, 10:30 pm
108 mbaroni kufuatia maandamano Simiyu
Mkuu wa wilaya Busega mkoani Simiyu amesema waandamanaji walimrushia mawe akiwa na viongozi wengine alipofika kuwasikiliza. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu Faiza Salim amesema hadi sasa watu108 wamekamatwa kufuatia maandamano yaliyofanywa na wakazi wa lamadi…
21 August 2024, 12:40 pm
Watoto kupotea: Wananchi waandamana, mabomu yarindima Lamadi
Jeshi la polisi Lamadi wilaya ya Busega mkoani Simiyu limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wanaoandamana kwenda kituoni hapo na kufunga barabara kuu ya Mwanza – Musoma wakishinikiza kuonana na Mkuu wa Wilaya baada ya watoto kupotea. Na Edward…
16 August 2024, 8:46 pm
DC Bunda azindua maktaba Esperanto sekondari
Dkt Vicent Naano Mkuu wa wilaya ya Bunda amewataka wanafunzi kutumia vitabu hivyo kuongeza ujuzi na maarifa yatakayowasaidia kufanya vizuri kwenye masomo yao. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vicent Naano amezindua maktaba shule ya sekondari…
15 August 2024, 9:59 pm
Wanafunzi Dr Nchimbi Sekondari “chakula shuleni kimetufanya tujiaminiR…
Wanafunzi wa shule ya sekondari Dkt Nchimbi wamesema tangu kuanza kupata chakula shuleni kumekuwepo na mabadiliko makubwa sana hasa vipindi vya mchana kwa kuwa kabla hawajaanza mpango wa kupata chakula shuleni wanafunzi hao walikuwa wakilala, kuchoka, kundondoka na wengine kutoroka…
15 August 2024, 8:41 pm
DC Naano aipa kongole Dr. Nchimbi Sec wanafunzi kupata chakula shuleni
Mwanafunzi yeyote ambaye hatachangia chakula shuleni baadhi ya nyaraka zake zitazuiliwa akimaliza kidato cha nne. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Dkt Vicent Naano amewapongeza wazazi na walimu shule ya sekondari Dkt Nchimbi kwa kuwa na muendelezo mzuri…
13 August 2024, 2:16 pm
Wananchi Bunda wahamasishwa kutoa maoni dira ya taifa 2025 -2050
Kikao cha kujadili na kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa wadau wa wilaya ya Bunda kuhusiana na dira ya maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2025 hadi 2050. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa ili kufikia malengo katika mpango wa dira ya taifa…
11 August 2024, 9:47 am
Wanafunzi Chamtigiti kusomea chini ya mti, serikali yaweka mkono
Na Edward Lucas Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, George Stanley Mbilinyi, amesisitiza umuhimu wa kumalizia ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi Chamtigiti, baada ya serikali kutenga shilingi milioni 50 kwa ajili ya madarasa mawili kupitia miradi ya…