Mazingira FM

Recent posts

8 March 2022, 7:49 am

Nassar: ili tumkomboe mwanamke inabidi tuanze na fikra Uchumi.

Halmashauri ya Mji wa Bunda imeadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ambayo kidunia huadhimishwa tarehe 08/03/2022. Katika Maadhimisho hayo, Mgeni rasmi ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe. Joshua Nassari amewapongeza wanawake wote wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya…

4 March 2022, 6:00 pm

WAFUNGWA MIAKA 20 KWA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO NA BUNDUKI,

Washitakiwa wanne wa Ujangili wamefungwa kila mmoja kifungo cha miaka 20 katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti kwa kukutwa na meno manne ya tembo na bunduki aina Riffle 458 kinyume cha Sheria. Waliokumbwa na adhabu hiyo katika kesi ya Uhujumu…

9 February 2022, 9:58 am

Serikali kuwalinda mangariba walioacha kukeketa

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewapongeza Ngariba waliokuwa wanajihusisha na vitendo vya ukeketaji baada ya kuacha kufanya vitendo hivyo na kisha kugeuka kuwa wanaharakati wa kukemea vitendo vinavyo dhalilisha utu wa mtoto…

3 February 2022, 9:40 am

Watanzania watakiwa kuwaamini wataalamu wa ndani

Wito umetolewa kwa wananchi kuendelea kuwaamini wataalamu wazawa wanaotekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo yao na kuacha kuwabeza Hayo yamesemwa na mkurugezi wa kampuni ya AUDECIA Investiment  Eng Kambarage Wasira anayetekeleza mradi wa ujenzi wa barabara ya Guta –…

3 February 2022, 8:17 am

Tembo waua tena wawili na kujeruhi mmoja Bunda

Watu wawili wamepoteza maisha na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya kushambuliwa na tembo wakati wakijaribu kuwafukuza tembo waliokuwa wamevamia makazi ya watu katika mtaa wa Bushigwamala kata ya Guta, Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Akizungumzia tukio hilo mwenyekiti wa mtaa…

29 January 2022, 6:48 pm

Tembo waharibu Ekari 50 za mahindi na mtama

Takribani ekari 50 za mahindi na 10 za pamba kata ya bunda stoo halmashauri ya mji wa bunda zimeliwa na tembo usiku wa kuamkia tarehe 28 jan 2022 Hayo yamesemwa na Afisa kilimo wa kata ya Bunda stoo Mboji Shibole…