Recent posts
16 October 2024, 5:04 pm
Waliomaliza kulipwa Nyatwali wahimizwa kuondoka
Mkuu wa mkoa ametoa rai kwa wakazi wa Nyatwali ambao tayari wameshapokea hundi zao kuhakikisha wanafanya hima kuondoka katika maeneo hayo Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa serikali inakwenda kuhitimisha zoezi la ulipaji fidia kwa wakazi wote wa Nyatwali waliotathminiwa katika…
11 October 2024, 12:12 pm
225 kati ya 380 kuhitimu kidato cha nne Dkt Nchimbi sekondari
Jumla ya wanafunzi 225 wanatarajia kuhitimu kidato cha nne shule ya sekondari Dkt Nchimbi mwaka huu kati ya wanafunzi 380 walioanza kidato cha kwanza mwaka 2021. Kupitia risala yao iliyosomwa mbele ya mgeni rasmi katika mahafali ya 17 ya shule…
9 October 2024, 8:36 am
Zaidi ya milion 700 zatumika miradi ya maendeleo Sazira
Katika kipindi cha serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan miradi iliyotekelezwa ni pamoja na ujenzi wa zahanati mpya tatu, vyumba vya madarasa vya kutosha shule ya sekondari sazira, mradi wa maji wa Misisi Zanzibar pamoja na…
5 October 2024, 10:58 am
Maboto: Kuolewa kwa mtoto wa kike kwa sasa siyo dili waacheni wasome
Kipindi cha nyuma jamii nyingi za mkoa wa Mara hazikutoa kipaumbele kwa mtoto wa kike kwenda shule wakitegemea ataolewa. Na Adelinus Banenwa Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Mhe Robert Chacha Maboto amewahimiza wazazi na walezi wilayani Bunda kuwasomesha watoto…
3 October 2024, 7:38 pm
TANAPA Kanda ya Magharibi yatoa vifaa kwa bodaboda Bunda
TANAPA wamesaidia kwa kiasi kikubwa katika shughuli za maendeleo katika jamii ikiwemo utengenezaji madawati, ujenzi wa zahanati, madarasa miongoni mwa kazi zingine. Na Adelinus Banenwa TANAPA Kanda ya Magharibi itoa refractor 1000 kwa waendesaha pikipiki maarufu bodaboda wilayani Bunda. Akikabidhi…
3 October 2024, 4:36 pm
Matengenezo ya bomba kabla ya mita ya mteja ni kazi ya BUWSSA
Changamoto yoyote ya matengenezo ya mtandao wa maji kwenda kwa mteja wa BUWSSA kabla ya Mita ni jukumu hilo ni kazi ya BUWSSA na matengenezo ya mteja yanahusu tu baada ya mita ya maji kwenda kwa mteja. Na Adelinus Banenwa…
27 September 2024, 1:20 pm
Vijiji 389 Bunda DC kushiriki uchaguzi serikali za mitaa
Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya wilaya ya Bunda George Stanley Mbilinyi, Picha na Adelinus Banenwa Kwa mujibu wa kifungu cha 57 cha sheria ya serikali za mitaa sura ya 287 na kifungu cha 16 cha serikali za mitaa sura 288…
22 September 2024, 11:30 pm
Maafisa, askari wa uhifadhi wapongezwa ulinzi wa faru Tanzania
Serikali inategemea sana mapato ya watalii ili kufanya shughuli za maendeleo na miongoni mwa wanyama pendwa kwa watalii ni pamoja na faru. Na Adelinus Banenwa Katibu tawala Wilaya ya Serengeti Angelina Marco amewapongeza Maafisa na askari wa uhifadhi kwa kuhakikisha…
22 September 2024, 11:24 am
TAKUKURU: kumiliki mali zisizoelezeka ni kosa kisheria
kwa mujibu wa sheria ya TAKUKURU namba 11 ya mwaka 2007 marejeo mwaka 2022, kugushi nyaraka kwa lengo la kumdanganya muajiri, kumiliki mali zisizoelezeka, matumizi mabaya ya madaraka, kujifanya ofisa wa TAKUKURU ni miongoni mwa makosa yaliyotajwa katika vifungu vya…
20 September 2024, 7:08 pm
Wakazi wa Zanzibar ‘wachekelea’ maji ya bomba
Eneo hili liliitwa Zanzibar kutokana na kukosa huduma za muhimu kama vile maji, umeme pamoja na barabara. Na Adelinus Banenwa Wakazi wa mtaa wa Zanzibar kata ya Nyasura halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara wameishukuru serikali kupitia Diwani wa…