Mazingira FM

Recent posts

25 February 2025, 9:00 am

Mbunge Maboto: Wazazi timizeni jukumu la chakula shuleni kuongeza ufaulu

Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Mhe. Robert Chacha Maboto amewataka wazazi kujitolea katika kuhakikisha watoto wanapata chakula shuleni ili kuongeza hali ya taaluma. Na Adelinus Banenwa Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto amewataka wazazi kujitoa…

22 February 2025, 5:23 pm

Pamba yavaliwa njuga Bunda, matarajio makubwa ya uzalishaji

Imeelezwa kuwa Serikali kupitia bodi ya pamba Tanzania imedhamilia wakulima wa zao hilo kulima kwa tija badala ya kulima mashamba makubwa lakini mavuno kidogo. Hayo yamesemwa na mkaguzi wa zao la pamba wilayani Bunda Ndugu Hemedi Kabea mbele ya katibu…

20 February 2025, 7:21 pm

Madiwani Bunda DC wakubali kupitisha bajeti ya Tsh, 36,5 bilion

Baraza la Madiwani halmashauri ya wilaya ya Bunda limepitisha makadilio ya bajeti ya shilingi Bilion 36.5 kwa mwaka wa fedha 2025 na 2026 Na Adelinus Banenwa Baraza la Madiwani halmashauri ya wilaya ya Bunda limepitisha makadilio ya bajeti ya shilingi…

20 February 2025, 12:20 pm

NHIF yaja na vifurushi vipya kuongeza wigo wa matibabu kwa wateja

Jamii yatakiwa kuwa na utamaduni wa kukata bima ya afya kabla ya kuugua ili kuepuka changamoto mbalimbali za kupata huduma By Edward Lucas, NHIF yaja na kifurushi cha NGORONGORO AFYA na SERENGETI AFYA ili kuongeza wigo wa matibabu kwa wateja…

16 February 2025, 6:37 pm

Wagonjwa 1,520 wahudumiwa bure katika kambi ya macho Bunda

Zaidi ya Wagonjwa 1,520 Wahudumiwa Bure Katika Kambi ya Matibabu ya Macho Bunda Manyamanyama. Na Adelinus Banenwa Zaidi ya wagonjwa 1,520 wa macho wamehudumiwa ndani ya siku mbili kati ya tatu katika kambi maalumu ya matibabu ya macho iliyofanyika katika…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com