Recent posts
29 January 2024, 3:06 pm
Kamati ya Siasa CCM Bunda Stoo yaipongeza serikali miradi ya elimu na afya
Mwenyekiti wa ccm kata ya bunda stoo Charlse Mwita Chacha ameiomba serikali kupitia wataalamu wake kuchukua hatua madhubuti kukamilisha miradi Bunda stoo. Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa ccm kata ya bunda stoo Charlse Mwita Chacha ameiomba serikali kupitia wataalamu wake…
29 January 2024, 2:38 pm
Mwili uliozikwa kwa kukosa ndugu Bunda wafukuliwa baada ya ndugu kupatikana
Mwili wa mwanamke uliozikwa kwa kukosa ndugu eneo la mtaa wa Tamua kata ya Nyatwali halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara umefukuliwa baada ya wanaodaiwa kuwa ndugu kupatikana. Na Adelinus Banenwa Mwili wa mwanamke uliozikwa kwa kukosa ndugu eneo…
29 January 2024, 2:25 pm
Wakazi wa Bunda watakiwa kutumia wiki ya sheria kupata uelewa wa sheria
Mkuu wa wilaya ya Bunda Dkt Vicent Naano amewataka wananchi wote wilaya ya Bunda kuitumia wiki ya sheria ili kupata elimu mbalimbali za kisheria. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Dkt Vicent Naano amewataka wananchi wote wilaya ya…
27 January 2024, 9:13 am
Butiama: NMB watoa msaada wa million 17 shule ya msingi Madaraka
Mkuu wa wilaya ya Butiama Moses Kaegele amewapongeza bank ya NMB kwa kuwa wadau wa maendeleo katika sekta za elimu na afya na kuendelea kuwa karibu na jamii. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya BUTIAMA Moses Kaegele amewapongeza bank…
23 January 2024, 8:43 am
Mamba waendelea kuleta maafa Buzimbwe
Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Kulwa Mafwimbo 46 mkazi wa kijiji cha Buzimbwe ameshambuliwa na mamba wakati akioga ziwa Victoria. Na Adelinus Banenwa Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Kulwa Mafwimbo 46 mkazi wa kitongoji cha Majengo kijiji cha…
16 January 2024, 12:43 pm
Upatikanaji wa maji Bunda kufikia 92% mwaka huu
Mamlaka ya maji Bunda BUWASSA imesema miradi yote ya maji inayotekelezwa mjini Bunda ikikamilika itafanya upatikanaji wa maji mjini Bunda kufikia asilimia 92. Na Adelinus Banenwa Mamlaka ya maji Bunda BUWASSA imesema miradi yote ya maji inayotekelezwa mjini Bunda ikikamilika…
16 January 2024, 12:16 pm
Watendaji watakiwa kukaa ofisini Nyasura
Wito umetolewa kwa watendaji wa serikali za mitaa kata ya Nyasura kukaa ofisini ili kutimiza adhma ya kuwahudumia wananchi. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa watendaji wa serikali za mitaa kata ya Nyasura kukaa ofisini ili kutimiza adhma ya kuwahudumia…
16 January 2024, 11:59 am
Diwani Nyasura awapa nyenzo za kazi mabalozi Nyasura
Diwani wa kata ya Nyasura na mwenyekiti wa kamati ya maendeleo ya kata Mhe Magigi Samweli Kiboko ametoa madaftari 33 na kalamu kwa mabalozi wote wa CCM katika kata hiyo ikiwa ni sehemu ya kuwawezesha viongozi hao kufanya kazi yao…
11 January 2024, 1:10 pm
Bunda wapewa tahadhari ugonjwa wa Kipindupindu
Katibu tawala wilaya ya Bunda Salumu Mtelela amewata wananchi wilayani Bunda kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa kipindupindu baada ya kuripotiwa mikoa jirani. Na Adelinus Banenwa Katibu tawala wilaya ya Bunda Salumu Mtelela amewata wananchi wilayani Bunda kuchukua tahadhari ya ugonjwa…