Mazingira FM

Recent posts

24 May 2024, 12:38 pm

BUWSSA: Mchakato wa kupeleka maji Nyasana umekamilika

Wananchi watakiwa kushiriki kwenye miradi ya maendeleo inayokuja kwenye maeneo yao. Na Mariam Mramba Wananchi wa mtaa wa Nyasana kata ya Kabasa katika halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara wamesema wapo tayari kujitolea nguvu kazi zao kwa kushirikiana na…

24 May 2024, 12:06 pm

Vijana washauriwa kujiunga na mafunzo ya Jeshi la akiba (mgambo)

“Vijana jiungeni na mafunzo ya jeshi la akiba hakuna mateso bali zipo fursa “ Na Mariam Mramba Imeelezwa kuwa wananchi kutokuwa na uelewa juu ya mafunzo ya jeshi la akiba na kutoshirikishwa katika mchakato wa kupata vijana wanaotakiwa kujiunga na…

24 May 2024, 10:43 am

Changamoto ya maji, barabara na umeme kupatiwa ufumbuzi Bunda stoo

ukosefu wa maji, umeme na barabara kwenye eneo la kisiwani mtaa wa Idara ya maji na Kilimani kupatiwa ufumbuzi hivi karibuni. Na Adelinus Banenwa Mhe Flavian Chacha Nyamageko diwani kata ya Bunda stoo amefanya mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero…

24 May 2024, 10:16 am

Hospitali ya mji wa Bunda yaanza kutoa huduma.

Kufunguliwa kwa huduma ya matibabu hospitali ya halmashauri ya mji wa Bunda inatajwa itapunguza adha kwa wakazi wa bunda stoo ambao walikuwa wakitembea umbali mrefu kufuata huduma za matibabu. Na Adelinus Banenwa Diwani wa kata ya Bunda stoo Mhe Flavian…

22 May 2024, 7:08 pm

65% ya wanafunzi Bunda hufeli mtihani kidato cha nne

Wazazi kutofatilia maendeleo ya watoto shuleni , utoro na ukosefu wa chakula shuleni chanzo cha wanafunzi wengi kufeli mtihani wilayani Bunda. Na Adelinus Banenwa Serikali wilayani Bunda chini ya mkuu wa wilaya dkt Vicent Naano imewasilisha utekelezaji wa ilani ya …

19 May 2024, 1:04 pm

Onyo! watumishi wasiyotoa ushirikiano kwa waandishi: RC Mtambi

“Kama wewe ni mtumishi wa serikali mkoa wa Mara na hutaki kutoa habari kwa waandishi mimi nakuona ni msaliti” Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Evance Mtambi ametoa onyo kwa watumishi wa serikali mkoani Mara wasiotoa ushirikiano …

11 May 2024, 7:41 pm

TAKUKURU yawataka wananchi kutambua viashiria vya rushwa kuelekea uchaguzi

TAKUKURU yaanza kujipanga kudhibiti matukio na vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi serikali za mitaa. Na Adelinus Banenwa Kujitoa kugombea, kusafirisha wapigakura, kununua au kuuza kadi ya mpiga kura ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwa ni rushwa  katika kipindi cha uchaguzi.…

10 May 2024, 6:33 pm

Mrida; serikali inatushirikisha sisi wafugaji

Kwa mwaka wa 2023 ha 2024 zaidi ya majosho 246 nchi nzima hii inaonesha serikali inawajali wafugaji. Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa wafugaji taifa Ndugu Mrida Mshota amewataka maafisa mifugo kuwatembelea wafugaji na kuwapatia elimu badala ya kukamata mifugo yao.…

7 May 2024, 2:40 pm

Waathirika wa mafuriko Lamadi wapongeza viongozi kuwatembelea

Na Edward Lucas Wahanga wa mafuriko kata ya Lamadi Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu wamewashukuru viongozi wa CCM mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Busega kuwatembelea na kusikiliza changamoto zao. Wakizungumza na Radio Mazingira Fm kwa nyakati tofauti baada ya…