Mazingira FM

Recent posts

7 October 2023, 12:56 pm

94 kati ya 154 wahitimu elimu ya msingi Tingirima

Na Taro M. Mujora Shule ya msingi Tingirima iliyopo halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imefanya mahafali ya 42 ya kuwaaga wanafunzi waliohitimu elimu ya msingi shuleni hapo. Mahafali hayo yamefanyika jana Oktoba 6,2023 shuleni hapo huku mgeni rasmi…

6 October 2023, 8:39 am

Sekondari Kabasa yapigwa jeki

Mahafali ya kidato cha nne shule ya sekondari Kabasa, Kambarage Wasira akiwa mgeni rasmi atoa milioni moja (1,000,000/=Tsh) kukabili sehemu ya changamoto katika shule hiyo. Na Edward Lucas Ikiwa ni wiki moja imepita tangu Kambarage ashiriki mahafali ya darasa la…

5 October 2023, 11:56 pm

Kabasa sekondari wampa kongole Samia ujenzi vyumba vya madarasa

“Kabasa Sekondari ina madarasa 28 na yanayotumika ni 22 tu hivyo ina ziada ya madarasa 6” Na Edward Lucas Shule ya Sekondari Kabasa iliyopo Halmashauri ya Mji wa Bunda mkoani Mara, imempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji wa…

4 October 2023, 7:29 pm

Gilyoma: Bunda kutumia mita mpya za maji

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Bunda BUWSSA inatarajia kufunga mita mpya takribani 6000 na kuondoa mita za zamani Na Catherine Msafiri Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Bunda (BUWSSA) Bi. Esther Gilyoma, amesema…

4 October 2023, 3:58 pm

DC Bunda atoa kongole kwa mbunge Maboto kusaidia madawati

Mkuu wa wilaya ya Bunda Mh. Dkt. Vicent Naano amemshukuru mbunge wa jimbo la Bunda Mjini Robert Chacha Maboto kwa kusaidia shule za jimbo la Bunda Mjini kwa kutoa madawati 1049 zilizopatikana kutokana na fedha za mfuko wa jimbo. Na…

4 October 2023, 3:44 pm

NMB yatoa msaada wa dawati 100 Nyasura

Katika kuadhimisha wiki ya huduma Kwa wateja banki ya NMB tawi la Bunda wametoa msaada wa madawati 100 kwa sule ya msingi ya Nyasura iliyopo kata ya Nyasura halamshauri ya mji wa Bunda mkoani Mara. Na Adelinus Banenwa Katika kuadhimisha…

30 September 2023, 1:50 pm

Kambarage Wasira ashiriki kutatua changamoto shule ya msingi Kunzugu

Ukosefu wa choo cha walimu na vifaa vya kuchapisha mitihani ni miongoni mwa changamoto katika shule ya msingi Kunzugu iliyopo Bunda Mkoani Mara. Na Edward Lucas Katika mahafali ya 42 shule ya msingi Kunzugu, Kambarage Wasira ametoa ahadi ya kuwapatia…

29 September 2023, 12:21 pm

WWF watua kwenye kitalu cha miti cha WUAs-Butiama

Na Thomas Masalu Watalaamu wa WWF wametembelea kitalu cha miti cha Jumuiya ya watumia maji ya mto Mara kusini ( WUAs) kilichopo Kijiji cha Kwisaro kata ya Nyamimange wilaya ya Butiama katika lengo la kujionea shughuli zinavyoendelea katika utunzaji wa…

28 September 2023, 3:14 pm

WWF kuboresha chazo cha maji kisima cha Ryawaka- Rorya

Watalaamu wa Shirika la WWF leo 28 Sept 2023 wametembelea chanzo cha maji ya kisima cha Ryawaka kilichopo Kijiji cha Kwibuse Kata ya Kisumwa wilaya ya Rorya Mkoani Mara. Na Thomas Masalu Watalaamu wa Shirika la WWF leo 28 Sept…

28 September 2023, 12:49 am

Wanahabari wapewa siri ya kuwawezesha kuhoji

Kupitia matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 mwanahabari unaweza kuhoji ili kuisaidia jamii Na Edward Lucas Kamisaa wa Sensa ya watu na makazi, Spika msaafu Mhe.Anna Makinda amewaasa waandishi wa habari kuhakikisha kuwa wanasoma taarifa ya…