Mazingira FM

Recent posts

2 September 2021, 8:56 am

Aliyekuwa DC Bunda aagwa baada ya kustaafu

By Adelinus Banenwa Umoja wa watumishi Makada wilaya ya Bunda mkoani Mara,leo umefanya sherehe ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Bunda mwalimu Lydia Bupilipili na kumkaribisha mkuu wa wilaya ya Bunda Mheshimiwa Joshua Nasarr. Akizungumza wakati wa kufungua sherehe…

6 July 2021, 6:35 pm

Dampo lawa kero kwa wakazi wa Migungani kata ya Bunda stoo

By Adelinus Banenwa Wananchi wa mtaa wa Migungani kata ya Bunda stoo Halmashauri ya Mji wa Bunda wameiomba serikali kuhamisha dampo la Migungani kutokana na kero kubwa wanazozipata Hayo wameyasema leo july 5, katika eneo la dampo la maji taka…

3 July 2021, 3:33 pm

Baraza la umoja wa Vijana UVCCM Wilaya ya Bunda

By Adelinus Banenwa Katibu wa Umoja wa Vijana UVCCM mkoa wa Mara Wambula Peresia amesema niwajibu wa madiwani na wabunge kuwawezesha Vijana hasa kwenye kuandaa mabaraza ya Wilaya Hayo ameyasema leo July 3, 2021 kwenye baraza la Vijana UVCCM Wilaya…

2 July 2021, 1:15 pm

Diwan wa kata ya Neruma wilayani Bunda kupitia CCM afariki dunia

by Adelinus Banenwa Diwani wa kata ya Neruma Mh. Alfred Maungo amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi Akizungumza na Mazingira fm Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mh. Charles Manunbu  amethibitisha kifo cha diwani huyo huku taarifa…

21 June 2021, 9:26 am

Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na Nyati

By Edward Lucas Kijana aitwaye Magesa Magori (21) mkazi wa Mtaa wa Tamau, Kata ya Nyatwali Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara anusurika kifo baada ya kuvamiwa na mnyama nyati wakati akiwa anachunga ng’ombe maeneo ya Tamau. Akisimulia tukio…

7 June 2021, 6:15 pm

Diwani Flaviani Nyamigeko tuziunge mkono timu za nyumbani

Diwani wa kata ya bunda stoo Flavian Chacha Nyamigeko amewataka wadau mbalimbali wilayani Bunda na viunga vyake kuziunga mkono timu za nyumbani ili ziweze kufanya vizuri kwenye mashindano ya kitaifa Hayo ameyasema leo alipotembelea kambi ya timu ya Bunda Queens…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com