Recent posts
27 August 2024, 12:49 pm
CCM Balili yatoa siku saba kwa shule mbili maboresho ya vyoo
Siku saba zimetolewa na katibu mwenezi CCM Balili kwa shule ya msingi na sekondari Rubana kufanya marekebisho ya vyoo vya wanafunzi ikiwa ni pamoja na huduma ya maji ili kuepuka magonjwa ya mlipuko. Na Adelinus Banenwa Chama cha mapinduzi CCM…
26 August 2024, 9:55 am
Waliopoteza maisha ajali ya Hiace Bunda yafikia 9
Idadi ya waliopoteza maisha katika ajali ya gari aina ya Hiace wilayani Bunda imefikia 9 huku majeruhi wakiendelea kupatiwa matibabu. Na Adelinus Banenwa Diwani wa kata ya Mugeta Mganga Jongora amesema tukio la ajali hiyo amezipata majira ya saa kumi…
26 August 2024, 9:44 am
Wanafunzi 6 wapoteza maisha kwa kuzama bwawani Rorya
Wanafunzi sita wa shule ya msingi Ochuna wilaya ya Rorya mkoani Mara wamefariki dunia wakidaiwa kuzama na kunasa kwenye tope. Na Adelinus Banenwa Wanafunzi sita wa shule ya msingi Ochuna wilaya ya Rorya mkoani Mara wamefariki dunia wakidaiwa kuzama na…
26 August 2024, 9:21 am
Vituo 1,597 kutumika uboreshaji daftari la kudumu la INEC Mara
Vituo 1,597 ni sawa na ongezeko la vituo 50 ukilinganisha na vituo 1,547 vilivyotumika kwenye uboreshaji mwaka 2019/ 2020. Na Adelinus Banenwa Jumla ya vituo 1,597 mkoani Mara vimetengwa kutumika kwenye zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga…
23 August 2024, 6:14 pm
Project Zawadi yakabidhi jengo lenye nyumba sita za walimu Bunda
Halmashauri ya wilaya ya Bunda ina upungufu wa nyumba 500 za walimu ili kukidhi mahitaji ya walimu. Na Fadhil Mramba Halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara inakadiriwa kuwa na upungufu wa nyumba za walimu zaidi ya mia tano ambavyo…
23 August 2024, 3:12 pm
‘Wakurugenzi wa halmashauri pimeni maeneo ya wafugaji kuondoa mogogoroR…
Wakurugenzi tengeni na pimeni maeneo ya malisho ili kuondoa migogoro baina ya wakulima na wafugaji. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa Wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kutenga na kupima maeneo ya wafugaji ili kuondoa migogoro baina ya wakulima na wafugaji…
23 August 2024, 2:10 pm
Vitambulisho 528 vya NIDA vyakwama ofisi ya mtendaji Bunda mjini
Wananchi watakiwa kuepuka kutoa namba zao za NIDA ovyo ili kuepuka changamoto ya kutumika vibaya kwa namba hizo. Na Gaudensia Zakayo Jumla ya vitambulisho 528 vya taifa (NIDA) havijachukuliwa katika kata ya Bunda mjini. Hayo yamesemwa na Mtendaji wa kata…
21 August 2024, 10:30 pm
108 mbaroni kufuatia maandamano Simiyu
Mkuu wa wilaya Busega mkoani Simiyu amesema waandamanaji walimrushia mawe akiwa na viongozi wengine alipofika kuwasikiliza. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu Faiza Salim amesema hadi sasa watu108 wamekamatwa kufuatia maandamano yaliyofanywa na wakazi wa lamadi…
21 August 2024, 12:40 pm
Watoto kupotea: Wananchi waandamana, mabomu yarindima Lamadi
Jeshi la polisi Lamadi wilaya ya Busega mkoani Simiyu limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wanaoandamana kwenda kituoni hapo na kufunga barabara kuu ya Mwanza – Musoma wakishinikiza kuonana na Mkuu wa Wilaya baada ya watoto kupotea. Na Edward…
16 August 2024, 8:46 pm
DC Bunda azindua maktaba Esperanto sekondari
Dkt Vicent Naano Mkuu wa wilaya ya Bunda amewataka wanafunzi kutumia vitabu hivyo kuongeza ujuzi na maarifa yatakayowasaidia kufanya vizuri kwenye masomo yao. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vicent Naano amezindua maktaba shule ya sekondari…