Mazingira FM
Mazingira FM
1 January 2023, 18:43
Umoja wa Kikundi Cha Wachungaji Bunda wametoa msaada wa chakula (mahindi ) magunia 10 kwa watoto 75 wanaoishi Mazingira magumu. Msaada huo umetolewa 31 Dec 2022 katika kanisa la FPCT sabasaba Bunda mjini na kuudhiriwa na viongozi wa kiserikali huku…
1 January 2023, 18:26
Diwani wa kata ya Nyamakoko Mhe Emanuel Machumu Malibwa amewashukuru wananchi waliojitokeza kufanya usafi katika maeneo mbalimbali katika kata hiyo Akizungumza na Mazingira Fm mara baada ya zoezi hilo la ufasi Mhe Malibwa amesema alipokea maelekezo juu ya kata yake…
1 January 2023, 17:57
Ally Nyamkinda Meneja Mazingira Fm Meneja wa kituo cha utangazaji cha radio Mazingira Fm Ally Simba Nyamkinda amewashukuru wasikilizaji na wadau wote wa Redio Mazingira kwa mwaka 2022 huku akibainisha kuwa Mazingira Fm ipo kwa ajili yao. Hayo ameyasema katika…
1 January 2023, 17:51
Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Bunda imepokea viua dudu ekapak 42 elfu na mabomba miatano kwa ajiri ya wakulima wa zao la pamba Akizunngumza katika mapokezi hayo kwa niaba ya Mkuu wa wilaya Afisa Tarafa ya Serengeti Revocatus Mkangara…
1 January 2023, 17:42
Leonard Magwayega, Mwenyekiti Jumuiya ya wazazi CCM Bunda Jumuhiya ya wazazi CCM Bunda imewatupia lawama wabunge wa wilaya ya Bunda kwa kushindwa kuwaunga mkono katika vikao vyao Hayo yamebainishwa leo na Mwenyekiti wa Jumuhiya hiyo ndugu Leonard Magwayega wakati…
20 December 2022, 18:16
Mjumbe wa halmashauri kuu ccm taifa kutoka UWT ndugu Joyce Mang’o amefungua mafunzo ya umoja wa wanawake chama cha mapinduzi(UWT) jimbo la bunda mjini iliyowahusisha wenyeviti na makatibu wa (UWT) ngazi ya matawi , kata na viongozi ngazi ya…
17 December 2022, 14:46
Shirika la BUFADESO linalojihusisha na utoaji elimu kwa jamii juu ya masuala ya kijinsi na kuwajengea uwezo wakulima mkoani mara limefanya mkutano mkuu wa mwaka ambapo imepokea taarifa mbalimbali zilizofanywa na shirika hilo kwa mwaka wa 2022. Akitoa taarifa ya…
17 December 2022, 14:38
Halmashauri kuu ya ccm kata ya nyasura ikiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho Marko Mabula Budosera imepokea taarifa aya utekerezaji wa ilani ya chama hicho kwa mwaka 2022 Akisoma taarifa hiyo mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu hiyo afisa mtendaji…
16 December 2022, 08:46
Halmashauri kuu ya ccm kata ya bunda stoo ikiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho Charles Mwita Chacha imepokea taarifa ya utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi kwa mwaka 2022 Akiwasilisha taarifa hiyo mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu hiyo…
16 December 2022, 08:20
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe. Joshua Nassari amezindua mradi wa maji katika shule ya Msingi Kabirizi iliyopo katika Kata ya Nampindi. Uzinduzi huo umefanyika leo tarehe 14/12/2022. Mhe. Mkuu wa Wilaya alianza kwa kuishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com