Recent posts
5 January 2023, 8:54 am
Bunda; Sasa rasmi wakazi wa kata ya Nyatwali kuhama serikali yasema
Serikali imetangaza adhima yake kuhusu kulitwaa eneo la kata ya Nyatwali lililopo katika Halmashauri ya Mji wa Bunda mkoani Mara kuwa sehemu ya hifadhi ya taifa ya Serengeti Kamati ya mawaziri nane wa kisekta wakiongozwa na mwenyekiti wao ambaye pia…
1 January 2023, 7:16 pm
Bunda, Mchungaji Motomoto Atoa vifaa vya shule kwa wanafunzi 275 wa Awali Msing…
Jumla ya madaftari 806, kalamu 150 na box mbili za pensel vimetolewa kwa wanafunzi 275 wa ngazi tofauti wanaotalajiwa kuanza muhula wa masomo hivi karibuni Vifaa hivyo vya shule vimetolewa na mchungaji kiongonzi wa kanisa la Revival Buptst Nyasura…
1 January 2023, 6:43 pm
Umoja wa Kikundi Cha Wachungaji Bunda wametoa msaada wa chakula (mahindi ) magun…
Umoja wa Kikundi Cha Wachungaji Bunda wametoa msaada wa chakula (mahindi ) magunia 10 kwa watoto 75 wanaoishi Mazingira magumu. Msaada huo umetolewa 31 Dec 2022 katika kanisa la FPCT sabasaba Bunda mjini na kuudhiriwa na viongozi wa kiserikali huku…
1 January 2023, 6:26 pm
Bunda; Nymakokoto wafanya usafi kiwilaya
Diwani wa kata ya Nyamakoko Mhe Emanuel Machumu Malibwa amewashukuru wananchi waliojitokeza kufanya usafi katika maeneo mbalimbali katika kata hiyo Akizungumza na Mazingira Fm mara baada ya zoezi hilo la ufasi Mhe Malibwa amesema alipokea maelekezo juu ya kata yake…
1 January 2023, 5:57 pm
MAZINGIRA FM kutanua masafa 2023
Ally Nyamkinda Meneja Mazingira Fm Meneja wa kituo cha utangazaji cha radio Mazingira Fm Ally Simba Nyamkinda amewashukuru wasikilizaji na wadau wote wa Redio Mazingira kwa mwaka 2022 huku akibainisha kuwa Mazingira Fm ipo kwa ajili yao. Hayo ameyasema katika…
1 January 2023, 5:51 pm
BUNDA yapokea viuadudu ekapack chupa 42 elfu na mabomba ya kupulizia 500 kwa aji…
Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Bunda imepokea viua dudu ekapak 42 elfu na mabomba miatano kwa ajiri ya wakulima wa zao la pamba Akizunngumza katika mapokezi hayo kwa niaba ya Mkuu wa wilaya Afisa Tarafa ya Serengeti Revocatus Mkangara…
1 January 2023, 5:42 pm
Bunda: Wabunge wa Bunda walalamikiwa kuikwepa jumuiya ya wazazi CCM wilaya
Leonard Magwayega, Mwenyekiti Jumuiya ya wazazi CCM Bunda Jumuhiya ya wazazi CCM Bunda imewatupia lawama wabunge wa wilaya ya Bunda kwa kushindwa kuwaunga mkono katika vikao vyao Hayo yamebainishwa leo na Mwenyekiti wa Jumuhiya hiyo ndugu Leonard Magwayega wakati…
20 December 2022, 6:16 pm
Bunda: Joyce Mang’o (MNEC) kupitia UWT afungua mafunzo ya uongozi UWT Bund…
Mjumbe wa halmashauri kuu ccm taifa kutoka UWT ndugu Joyce Mang’o amefungua mafunzo ya umoja wa wanawake chama cha mapinduzi(UWT) jimbo la bunda mjini iliyowahusisha wenyeviti na makatibu wa (UWT) ngazi ya matawi , kata na viongozi ngazi ya…
17 December 2022, 2:46 pm
BUFADESO BUNDA: wafanya mkutano mkuu wa shirika
Shirika la BUFADESO linalojihusisha na utoaji elimu kwa jamii juu ya masuala ya kijinsi na kuwajengea uwezo wakulima mkoani mara limefanya mkutano mkuu wa mwaka ambapo imepokea taarifa mbalimbali zilizofanywa na shirika hilo kwa mwaka wa 2022. Akitoa taarifa ya…
17 December 2022, 2:38 pm
Bunda: CCM Nyasura yapokea taarifa ya utekelezaji wa ilani 2022
Halmashauri kuu ya ccm kata ya nyasura ikiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho Marko Mabula Budosera imepokea taarifa aya utekerezaji wa ilani ya chama hicho kwa mwaka 2022 Akisoma taarifa hiyo mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu hiyo afisa mtendaji…