Mazingira FM

Recent posts

14 February 2023, 11:06 am

Nyasura: tutapita nyumba kwa nyumba wanafunzi wote waende shule.

Uongozi wa Kata ya Nyasura Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara umeweka mikakati ya kupita nyumba hadi nyumba kuhakikisha watoto wote waliopaswa kuwa shule waweze kufika shule kwa wakati. Hayo yamebainishwa leo na Afisa Mtendaji wa kata Hiyo, Bi…

14 February 2023, 10:35 am

Mama mwenye mtoto wa miezi miwili, akatika mguu ajali ya Basi

Hellena Emmanuel(23) mkazi wa Mwanza ni miongoni mwa abiria waliojeruhiwa vibaya kwenye ajali ya basi la Afrika Raha iliyotokea tarehe 12 Feb 2023 majira ya saa 9 alasiri eneo la Mwibagi Wilaya ya Butiama mkoani Mara Akizungumza na Radio Mazingira…

11 February 2023, 7:11 pm

Bunda: Wazazi wafundisheni watoto kuridhika ili muepushe mimba za utotoni

Wazazi na walezi wametakiwa kuwafundisha watoto waridhike na kile walichonacho ili kuwaepusha na vishawishi vinavyopelekea mimba za utotoni na kukatisha ndoto zao.Wito huo umetolewa jana tarehe 8 Feb 2023 na Afisa Ushirikiano kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la kuunganisha Uwezo…