Mazingira FM

Recent posts

10 April 2023, 8:11 am

Mashindano ya Taifa ya mpira wa mikono yafanyika Bunda Mji

Kwa mara ya pili mfululizo mashindano ya mpira wa mikono (handball) Taifa yanafanyika katika ardhi ya Halmashauri ya Mji wa Bunda. Mashindano haya yalianza siku ya Jumatano tarehe 04.04.2023 na kuzinduliwa na mdau mkubwa wa michezo Ndg. Kambarage Wasira katika…

31 March 2023, 3:24 pm

Tanzia

TANZIA!!! Uongozi wa Radio Mazingira Fm kwa masikitiko makubwa unatangaza kifo cha mfanyakazi wao Bi.Magreth Samson Misinzo (aliyekuwa mhasibu katika kituo Cha Radio Mazingira) kilichotokea jana tarehe 30 March 2023 saa 11 jioni. Tunamtukuza Mungu kwa maisha ya Magreth na…

19 March 2023, 7:23 pm

CHADEMA; Wampa tano Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara.

Naibu Katibu Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Zanzibar SALUMU MWALIMU amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa. Kiongozi huyo wa CHADEMA ameyasema hayo kwenye…

18 March 2023, 5:52 pm

Huduma za Rita sasa ni mtandaoni.

Wakala wa ufilisi na udhamini nchini rita umekamilisha hatua ya kwanza ya mfumo wa usajili wa matukio mbalimbali ya binadamu ikiwemo vizazi , vifo , ndoa na taraka kupitia mtandao ambao unajulikana kama E RITA jambo litakalorahisisha upatikanaji wa huduma…