Mazingira FM

Recent posts

3 March 2023, 2:05 pm

Wakaazi wa Nyamuswa walalamika kuingiliwa kingono kwa njia za kishirikina

Wakaazi wa Kijiji Cha Nyamuswa Kata ya Nyamuswa Halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara wamelalamikia vitendo vya kuingiliwa kingono wakati wamelala jambo linaloleta taharuki kwa wananchi Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakazi hao wamesema licha ya vitendo hivyo kukemewa na…

1 March 2023, 4:38 pm

RUWASA Bunda; Ifikapo 2025 Bunda kupata maji 85% vijijini

Meneja wa RUWASA wilaya ya Bunda Mhandisi William Boniphas amesema ifikapo 2025 wilaya ya Bunda itakuwa imefikia 85% ya upatikanaji wa maji vijijini kama inavyoelekeza ilani ya CCM ya 2020 na 2025 Hayo ameyasema ofisini kwake wakati akizungumza na Mazingira…

1 March 2023, 3:48 pm

Wakazi wa Kisangwa Bunda walia na choo mnadani.

Wakaazi wa Kisangwa kata ya Mcharo Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara wamelalamikia ukosefu wa huduma ya choo katika mnada wa Kisangwa jambo linalohatarisha usalama wa afya zao. Wakizungumza na Radio Mazingira Fm  wamesema kukosekana kwa usimamizi katika choo…

24 February 2023, 9:07 am

Mwenezi CCM Bunda aipa kongole Radio Mazingira

Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Bunda, Gasper Charles  amewahasa wananchi kuendelea kuisikiliza Radio Mazingira Fm kwa ajili ya kupata habari na taarifa mbalimbali. Wito huo ameutoa leo tarehe 23 Feb 2023 wakati alipotembelea ofisi za Radio Mazingira…

23 February 2023, 9:24 pm

Sitaki niongoze wilaya ya watu wenye njaa : DC Bunda

Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vicent Naano amesema hataki kuongoza Wilaya ambayo watu wake Wana njaa Kauli hiyo ameitoa kwenye kikao Cha Baraza maalumu la madiwani lililoketi Juma hili kulijadili zoezi la Nyatwali Amesema katika maeneo mengi ya…

23 February 2023, 9:22 pm

DC Naano asema wakazi wa Nyatwali watapata haki zao

Mkuu wa wilaya ya Bunda mhe Dkt Vicent Naano amewatoa hofu madiwani  wa Halmashauri ya Mji wa Bunda kuwa hoja zao juu ya suala la Nyatwali wamezichukua na watashauriana na mamlaka husika kuweza kupata muafaka uliyo sahihi. Mhe Dkt Naano…

20 February 2023, 2:59 pm

TAWA wafanikiwa kumuua mamba anayedaiwa kumuua mwananchi Nyatwali

ASKARI wa wanyamapori TAWA wamefanikiwa kumuua mamba anayedaiwa kumuua mwananchi aliyekuwa akifanya shughuli za uvuvi mtaa wa Tamau kata ya nyatwali Halmashauri ya mji wa Bunda Kutokana na maelekezo ya Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Bunda kwa askari ya…

20 February 2023, 2:52 pm

Aliyeshikwa na mamba Nyatwali apatikana akiwa amepoteza maisha.

Zoezi la utafutaji wa ndugu  Mayila Maleba mwenye umri wa miaka (37) aliyekamatwa na mamba wakati akiendelea na shughuli za uvuvi wa samaki kandokando ya ziwa Victoria eneo la Tamau,wamefanikiwa kumpata akiwa amepoteza maisha. Mwili umekabidhiwa kwa ndugu ili taratibu…