Recent posts
26 September 2023, 3:25 pm
WWF, wadau wapima maji mto Tigite-Tarime
Shirika la WWF kwa kushirikiana na bonde la Ziwa Victoria wamefanya zoezi la kupima maji ya mto Tigite uliopo kijiji cha Matongo kata ya Matongo wilaya ya Tarime ili kubaini afya ya mto huo katika vigezo vya asili na vya…
23 September 2023, 8:06 am
Faru kivutio cha watalii hifadhi ya Serengeti
“Natoa rai kwa wananchi wote washiriki kuhakikisha kwamba Faru wanaendelea kubaki kwa ajili ya kizazi kilichopo na cha baadaye” Dkt Vincent Mashinji Na Thomas Masalu. Imebainishwa kuwa uwepo wa mnyama faru katika hifadhi ya taifa ya Serengeti unavutia watu wengi…
22 September 2023, 5:25 pm
Mtanda aipongeza halmashauri ya Bunda TC ubora wa miradi
Mkuu wa mkoa wa Mara mhe Said Mohamed Mtanda ameipongeza halmashauri ya mji wa Bunda kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo kwa viwango na kasi inayoitajika. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa Mara mhe Said Mohamed Mtanda ameipongeza…
22 September 2023, 5:17 pm
Serikali yaombwa kuweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara Bunda
Wafanyabiashara kupitia TCCIA wameiomba serikali kuweka mazingira rafiki na wezeshi ya kufanya biashara hasa kwa wafanyabiashara waliopanga kwenye majengo ya Umma kama vile stendi na sokoni. Na Adelinus Banenwa. Wafanyabiashara kupitia TCCIA wameiomba serikali kuweka mazingira rafiki na wezeshi ya…
22 September 2023, 4:01 pm
Wakazi Migungani walalamikia uzururishaji mifugo kwenye maeneo yao
Wakazi wa mtaa wa Migungani kata ya Bunda stoo wameitaka serikali ya mtaa kuwasimamia wafugaji ili waache kuzururisha mifugo katika maeneo yao. Na Adelinus Banenwa Tatizo la mufugo kuzurura mitaani, upungufu wa huduma ya maji, na wananchi kutohudhuria vikao ni…
22 September 2023, 3:34 pm
Vijana wa kanisa la Baptist Nyasura wawatembelea wagonjwa hospital ya Bunda DDH
Umoja wa vijana kutoka kanisa la Nyasura Baptist Wakiongozwa na mchungaji wao kiongozi Jeremiah Motomoto wamefanya ziara ya kuwatembelea wagonjwa hospital ya Bunda DDH Kwa lengo la kuwatia moyo na kuwaombea Na Adelinus Banenwa. Umoja wa vijana kutoka kanisa la…
22 September 2023, 2:53 pm
Mara waikubali ZUKU, waipokea kwa mikono miwili
Wananchi wa mkoa wa Mara wameoneshwa kuridhishwa na huduma ya king’amuzi cha ZUKU kutokana na ubora wake wa muonekano wa picha. Na Thomas Masalu Wananchi wa mkoa wa Mara wameoneshwa kuridhishwa na huduma ya king’amuzi cha ZUKU kutokana na ubora…
22 September 2023, 2:26 pm
Uchechemuaji katika masuala ya kilimo ni muhimu
Kupitia mradi wa ASILI-B unaofadhiliwa na Vi Agroforestry, CSP kwa kushirikiana na BUFADESO wamewakutanisha wadau wa kilimo wilaya ya Bunda na kuunda jukwaa la kilimo. Na Thomas Masalu Kupitia mradi wa ASILI-B unaofadhiliwa na Vi Agroforestry, CSP kwa kushirikiana na…
22 September 2023, 9:37 am
Wilaya ya Bunda yakamilisha kuunda jukwaa wakulima wadogo
Imeelezwa kuwa wilaya ya Bunda mkoani Mara, wamekamilisha uundaji wa jukwaa la wakulima wadogo lenye wadau mbalimbali akiwa ni pamoja na wakulima wenyewe. Na Thomas Masalu Imeelezwa kuwa wilaya ya Bunda mkoa wa Mara, wamekamilisha uundaji wa jukwaa la wakulima…
21 September 2023, 9:34 am
Mkuu wa mkoa Aipongeza halmashauri ya Bunda DC Kasi ujenzi shule maalumu ya wasi…
Mkuu wa mkoa wa Mara Said Mohamed Mtanda ameipongeza Kasi ya ujenzi katika mradi wa shule maalumu ya wasichana ya mkoa wa Mara inayojengwa kata ya Butimba halmashauri ya wilaya ya Bunda. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa Mara…